Watanzania wamekata tamaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wamekata tamaa

Discussion in 'Jamii Photos' started by KakaNanii, Oct 25, 2010.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Hapo umeöna tatizo gani?, mbona hao watoto wanaafya njema?
   
 3. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tanzania bila si-si-em inawezekana.
   
 4. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  October 31, 2010, ni kazi moja, "we need changes comrades"
   
 5. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kwa kuwa wewe tunakujua ni kada wa ccm lazima useme wana hali nzuri . Ndo maana wa-tz mnaogopa kuanza kutumika kwa asilimia 100% kwa jumuia ya afrika mashariki. Mnajua hamtokua na chenu kutokana na kuwanyima wananchi wenu elimu !!!!
   
 6. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Ndio mafanikio ya CCM baada ya mika 50!
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,427
  Likes Received: 3,790
  Trophy Points: 280
  GAMA........... HIVI WEWE NI MZIMA KWELI...............AND YOU CALL YOURSELF "GREAT THINKER"..........??? YAANI HAPO UNAONA TATIZO LINATAZAMWA KWENYE AFYA TUUUUUUUUUUUU.........!!!!!!!!! Kumbuka uzima wa mguu hauwezeshi macho kuona............
   
Loading...