Watanzania Wameanza kumuelewa Dr Slaa na Siasa za Kukurupuka

AMAKWELI UPO GIZANI .Rais wako aliomba ziku zaidi alipokuwa anautubia Watanganyika kuwa siku 9 na 21 nidogo awezi kutatua matatizo ya watu .LAKINI AMETOA AGIZO HEWA .1 SUKARH KUSHUSHA BEI !.2 Tanesco kushusha bei ya umeme.¡ 3 DOWANS MPAKA SASA AIJALIPWA 4 KASITISHA BOMOABOMOA YA MAGUFULI .Kakuta UCHUMISHI Mishahara hewa 9bilion ajachukua hatua 4 Kaagiza wanaojenga viwanja vya jangwani kubomoa uzio wa mabati jamaa wamegoma . NANI RAIS DR SLAA AU Prof JK
 
Dr Slaa ni kweli unakurupuka.wewe hukuzungumzia bei ya sukari maisha siyo sukari tt
tu.unajiliwaza bure hakim unachofanikiwa, ukumbuke uongo ni mfupi na hauchelewi kubainika. Juzi juzi ukiwa Maswa ulitangaza kifo cha mkuu wa mkoa wa Shinyanga ulitafit na ni kweli amekufa Kama siyo kukurupuka ni nini? Mbona hadith Leo hujaomba radhi? Unweza kuwadanya watu wachache kwa muda tu, lakini huwezi kuwadanganya watu wore wakati wote. ACHA kUKURUPUKA !

Alisema amepata ujumbe wa simu (SMS) uliodai kuwa mkuu wa Shinyanga amekufa. Cha kujuiliza nini au nani hasa chanzo cha hiyo SMS iliyomfikia Dr Slaa? inawezekana kabisa ni watu wa upande wako maana Dr Slaa anawanyima usingizi kweli kweli. Hakurupuki mtu!
 
Kobello, You're absolutely out of touch. Unajitahidi sana kutumia data za duniani ku justify hata yale usio na uhakika.
Waziri mkuu wa Tanzania, Mh Mizengo Kayanza peter Pinda (MB) alikutana na wafanyabiashara wa sukari. Katika mambo aliyoyagundua ilikuwa ni uhujumu wa kuficha sukari ili kuleta upungufu na bei kupanda. Haya si maneneo yangu ni ya Waziri mkuu.
Akaendelea, hakukuwa na sababu ya kupanda bei ya sukari kwani nyingi ipo maghalani. Ni baada ya tamko hilo sukari ikashuka bei. Hii ilifuatia maandamano ya Chadema kanda ya ziwa na shinikizo kutoka kwa wananchi. Baada ya taarifa ya waziri mkuu sukari ikateremka bei kuonyesha kuwa hakuna mahusiano kati ya data zako za FAO, kupanda bei za mafuta au ethanol.

Pili, kwa viwanda tulivyonavyo na matumizi yetu ya bidhaa kama sukari ni kidogo kuweza kutetereka kwa siku chache kunapotokea matatizo ya uzalishaji duniani. Kwa nchi zenye matumizi makubwa hili linaweza onekana siku chache sana.

Tatu kupanda kwa bei za mafuta inaweza kuwa sababu, lakini kwa serikali makini ipo njia ya kupunguza makali kwa walaji(consumers) kwa kutumia upandaji wa bei. Kwa mfano lita ya mafuta inachajiwa kwa % ya VAT, kuongezeka kwa bei ya mafuta hakusimamishi %, kwa hiyo ilikuwepo loophole ya kupunguza kodi kwa bidhaa muhimu kama sukari bila kuathiri mapato ya taifa.
Hii imefanyika marekani ulipo, Uingereza na Canada wakati bei ya mafuta ilipofikia kiwango cha juu, waliondoa kodi za usafirishaji wa bidhaa hasa vyakula ili kutoa unafuu na bila kuathiri makadirio ya mapato.

Kama unaufahamu zaidi ya waziri mkuu, basi weka jamvini, lakini takwimu za FAO haziwi supported na Rais au Waziri mkuu wa nchi yako.
That's amazing!
Sugar is a very peculiar commodity.Unlike oil,every country in this planet produces sugar.The industry is controlled by cartels,like Ilovo/Mtibwa and regardless of local cost of production the pricing is highly depending on the global market.They saw the trend and started acting on it,when Pinda went to talk to them,the prices in the world markets were dropping and there was no need to suppress the supply.
That's how the price came down,plus the import tarrif thing (which I really hate).The business community won big time here! together with CDM while the government and the ''people" lost big time!
NB:The think tank is kinda shallow,your MPs are not what I expected!
 
Dr Wilbrod Slaa(Phd) amekuwa mwana siasa maarufu hapa nchini hasa kwa namna yake ya kuibua mambo mbalimbali mchanganyiko mengine yakiwa na ukweli na mengine ya kiwa hayana ukweli! Suala la kutaja watuhumiwa wa ufisadi ni moja ya mambo aliyofanikiwa kwani hadi sasa hakuna hata miongoni mwa aliowataja hawaja enda kumshitaki mahakamani au wao kukanusha! Mengine ni pamoja na suala la Kontena la karatasi za kupigia kura alilosema limetokea Afica ya kusini hadi leo hakuna ukweli wa jambo hilo! Lakini pia amekua kua akitoa matamko yenye muda ambayo pindi muda unapo pita kuna kua hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa! Mfano: Alimpa siku 9 Kikwete maisha ya watanzania yawe mazuri,Alitoa siku 21 serikali ihakikishe uchaguzi wa Meya unafanyika! Juzi amempa Kikwete siku 90 awe amesha wafukuza Mafisadi ndani ya CCM! Dr Slaa lazima awe makini na ahadi za namna hii kwani zinatoa picha yake halisi ya kukurupuka katika siasa na inampunguzia heshima kwa Jamii. Ni bora awe anatoa siku hizo na utekelezaji Uonekane!

Now we have another CRAAAAPPP!!!
what are you advising here.
SHUUUUUTTTTTT!!! UPPPPP!!!!!!!!!!!!
 
Wewe unaishi wapi, Tanzania hii au nyingine. Hukuona Jinsi Waziri Mkuu alivykimbia kwenda Kagera kwenye viwanda vya Sukari kujaribu kushusha bei na Kikwete mwenyewe alikurupuka kutembelea magahala ya vyakula na kuagiza mahindi yasambazwe haraka kushusha bei za vyakula. Na Fiadi magufuli alivyopigwa Stop kuharibu masiha ya wananchi kwa kuwabomolea nyumba bila ya fidia hata mahali ambapo barabara zimewafuata wananchi.

Lakini kutokana na CCM na Serikali yake kuwa na utendaji wa nguvu za Soda huishia kwenye matamko na hamna ufuatiliaji.
 
That's amazing!
Sugar is a very peculiar commodity.Unlike oil,every country in this planet produces sugar.The industry is controlled by cartels,like Ilovo/Mtibwa and regardless of local cost of production the pricing is highly depending on the global market.They saw the trend and started acting on it,when Pinda went to talk to them,the prices in the world markets were dropping and there was no need to suppress the supply.
That's how the price came down,plus the import tarrif thing (which I really hate).The business community won big time here! together with CDM while the government and the ''people" lost big time!
NB:The think tank is kinda shallow,your MPs are not what I expected!

Whether the price reduction was a coincidence or not, one thing we must accolade Chadema, that's the pressure exerted on the same has immensely impact on it. I for one, commend a good job by Dr and his tireless team to stand with public for thick and thin.

The think tank is all about Chadema MPs. Unfortunate they are fighting two wars, one to stand for public interest and two, to fight against Ann Makinda oppression and suppression. Madame Speaker is incompetent and the respect of big chair with national emblem is absolutely bungled. Madame is an impasse to the development. She has misrepresented her party and gender, another consequence of affirmative action.

The majority CCM MPs are busy clapping their hands, waiting to say yeeees and make the day. The green and yellow are complacent, relaxed and enjoy the cool atmosphere obliviously of their responsibilities. If there is anything the public need to abnegate is CCM MPs and Speaker of the house.

Tundu Lissu et all , thanks for your perseverance, the public is watching closely and appreciate your brilliant job. Please nil desperandum.
 
  • Thanks
Reactions: Iza

Do you believe that the "people" benefited from it?Are you serious?......Let me ask you a question,would you eliminate import tarrif or mobilize a consumer cooperative that will import and sell at a break-even price?
Because eliminating import tarrif creates a whole other branch of sugar importers,fattening a business community(mostly non-indigeneous,of course) while denying the mass,a source of income(tarrif),so actually you guys got played!..I mean,big time!!
 
Dr Wilbrod Slaa(Phd) amekuwa mwana siasa maarufu hapa nchini hasa kwa namna yake ya kuibua mambo mbalimbali mchanganyiko mengine yakiwa na ukweli na mengine ya kiwa hayana ukweli!

Suala la kutaja watuhumiwa wa ufisadi ni moja ya mambo aliyofanikiwa kwani hadi sasa hakuna hata miongoni mwa aliowataja hawaja enda kumshitaki mahakamani au wao kukanusha! Mengine ni pamoja na suala la Kontena la karatasi za kupigia kura alilosema limetokea Afica ya kusini hadi leo hakuna ukweli wa jambo hilo!

Lakini pia amekua kua akitoa matamko yenye muda ambayo pindi muda unapo pita kuna kua hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa! Mfano: Alimpa siku 9 Kikwete maisha ya watanzania yawe mazuri,Alitoa siku 21 serikali ihakikishe uchaguzi wa Meya unafanyika!

Juzi amempa Kikwete siku 90 awe amesha wafukuza Mafisadi ndani ya CCM! Dr Slaa lazima awe makini na ahadi za namna hii kwani zinatoa picha yake halisi ya kukurupuka katika siasa na inampunguzia heshima kwa Jamii. Ni bora awe anatoa siku hizo na utekelezaji Uonekane!

crap.

subiri kwanza siku 90 mlizowapa 'watuhumiwa wa ufisadi' zitimie, ndiyo nitaisoma tena post yako.
 
Ama kweli kama Dr. Slaa anakurupuka ndio maana akapata kura zaidi ya milioni 2 hata mimi naomba karama ya kukurupuka. Kama Slaa alitoa list of shame kwa kukurupuka ndion maana CCM wamejuvua gamba nami eeh mola nijalie kukurupuka. Ndio kama Slaa amemshussha JK toka asilimia zaidi ya 80% hadi 60% niombe nini kama sio kukurupuka?
 
Bro! hizo ndizo siasa unaambiwa! na hiyo ndiyo kazi ya wapinzani wanapokuwa nje ya bunge. Angeyatimiza iwapo angekuwa sehemu ya dola, siasa ni kukosoana na kushtakiana kwa wananchi. Anachokifanya Dr. Slaa ni sahihi maana hawa wanatuhumiwa kwa ufisadi wamefanya ufisadi ndani ya serikali na si ndani ya CCM, hapa fedha za umma zimeliwa kwa hiyo lazima pia wawajibishwe kwa mujibu wa sheria za nchi na si kwa mujibu wa sheria za chama. Wangefanya ufisadi ndani ya CCM, ungemsikia Slaa akilalamika, au wapinzani wakizunguka nchi kufafanua ufisadi ni nini na mafisadi ni akina nani? Hapa mzee hakurupuki hata kidogo. Sijui kama nimejibu hoja yako?
 
Hapana bro,mwanasheria mkuu wa serikali inabidi akusanye ushahidi na kufungua mashtaka.Huu ni mhimili ambao kwa nchi nyingi za kidemokrasia ni muhimu sana,ila hapa kwetu,rais ndio tunaona kama anatakiwa afanye kila kitu.
Kuhusu chama kuwawajibisha,hiyo poa tu! kwani wewe inakuudhi nini?Ni gharama ndogo,haraka na haiitaji utaalamu mwingi wa kukusanya ushahidi.
 
Dr Slaa ni kweli unakurupuka.wewe hukuzungumzia bei ya sukari maisha siyo sukari tt
tu.unajiliwaza bure hakim unachofanikiwa, ukumbuke uongo ni mfupi na hauchelewi kubainika. Juzi juzi ukiwa Maswa ulitangaza kifo cha mkuu wa mkoa wa Shinyanga ulitafit na ni kweli amekufa Kama siyo kukurupuka ni nini? Mbona hadith Leo hujaomba radhi? Unweza kuwadanya watu wachache kwa muda tu, lakini huwezi kuwadanganya watu wore wakati wote. ACHA kUKURUPUKA !
Huna hoja, jifunze namna ya ku argue acha mawazo uchwara
 
With all due respect Dr.....bei ya sukari haikupungua kutokana na shinkizo lako,imepungua kutokana na kupungua kwa bei ya sukari katika soko la dunia,that's according to FAO.

Hua amkosi sababu nyie mapropaganda sukari tutengenze hapa then ufananishe na records za FAO? we wa wapi
 
Mlengo wa Kati,

Sina hakika na unachokiita ukurupukaji:

i) Swala la Kontaina la karatasi za uchaguzi ni vema ulifanyie uchunguzi kabla ya kusema nimekurupuka. Nilitoa Namba ya Gari na Namba ya Container iliyoleta Karatasi toka Afrika Kusini hadi Tunduma upande wa Zambia. Ikafaulishwa kwenye Lori la azam kwa upande wa TZ. Taarifa ilitoka kwa maofisa wa Serikali, na kuthibitisha ukweli wa Taarifa hizo japo mimi sikuwa nimewataja mara moja asubuhi ile waliitwa Dar, na hatimaye kuhamishwa kituo cha kazi kwa taarifa niliyonayo. Kiravu na RPC Advocate Nyombi wakaishia kusema Dr Slaa ni mwongo badala ya kufanya uchunguzi huru. Polisi walihusika na tuhuma hizo, immigration na TRA wote walihusika kwanini wao waioshie kutukana badala ya ucunguzi huru?

Pili Bungeni Waziri Mara alitangaza kuwa Serikali imenunua, machine na kuwa tayari ziliingia nchini, iweje ghafla serikali hiyo hiyo kupitria Tume kuwa sasa Karatasi zimechapishwa na Kampuni ya Kalamazoo, UIingereza, nani alishirikishwa na ziko wapi machine zilizoingizwa kwa kazi hizo. Tatu, ,ikononi mwetu (Chadema tuna karatasi za uchaguzi ambazo hazina maandishi kabisa maerlfu kwa maelfu kutoka vituo vya kupigia kura. Tumeuliza je ni Kampuni ya Kalamazoo ilituuzia Karatasi hizo hafifu(Kalamazoo ni Kampuni inayojulikana duniani kwa security printing) au kumetokea nini. Kama walituuzia Karatadsi hafifu ni kwanini hawakushitakiwa? Dr Slaa nimepigia kelele hayo wenye madsikio wamesikia na kuelewa na ndio msingi moja wa kura kuchakachuliwa. Nani kakurupuka Dr. Slaa au anayesema Dr Slaa Kakurupuka bila yeye kufanya utafiti au labda karukia tu hoja bila kujua msingi.

2) Hoja ya siku 9 kwa Kikwete kupunguza bei ya sukari. Ni mtanzania gani hajui kuwa kutokana na shinikizo hilo Kikwete katekeleza agizo la kushasha bei ya Sukari kutoka alichoita mwenyewe 2,200 hadi 1,700 na baada ya siku 3 kuishusha chini zaidi kuwa 1,500(japo Kikwete bila kupanga kashusha kwa kuagiza wauzaji wadogio kushusha beio zao kwa mlaji bila kujua kwanini imepanda,mwuzaji huyo naye alinunua kwa kiasi gani, nasa ni katika hatua gani inapanda(kukurupuka huko ndiko kunafanya agizo hilo lisitekelezeke) Lakini kwa maana ya agizo la Chadema Kikwete amelitekeleza ndani ya siku 9. Mtanzania gani hajui katika ziara zake kwenye wizara aliagiza bei ya Mafuta ya kupikia, sembe, maharage zishushwe? Kama agizo la Chadema limetekelezwa ila kwa kiwango gani na namna gani ni swala lingine. Ndiyo maana tumeendelea kumwita msanii, tumeendelea kumtaka kupunguza makali ya maisha kwa wananchi.

3) Kuhusu siku 21 za Umeya Arusha, kwanza ndugu yangu naona hata facts hujui. Agizo hilo ni la Kamati Kuu ya Chadema. Dr Slaa alikuwa tu mdomo wa kulifikisha kwa Watanzania kupitia Press Conference lakini siyo Dr Slaa alikurupuka tu. Naomba niweke hiyo record sawa. Kuhusu utekelezaji, Kamati Kuu popote haikutamka kuwa siku ya 22 tutafanya....Naomba soma vizuri na uelewe kabla ya "kukurupuka kuhukumu". Hata hivyo nataka niwahakikishie kuna mengi yamekuwa yaiendelea kutoka wakati huo ninaombanndugu yangu uvute subiri, mambo makubwa na magumu hayaendi kwa ushabiki.

Nadhani nimesaidia Jamvi kwa kutoa taarifa sahihi.

Unastahili pongezi nyingi sana kwa kazi unayoifanya Dr. umekuwa karibu na Watanzania kwa vitendo, mimi ni mmoja wa watanzania wanaokuunga mkono, na kuthamini mchango wako katika kuwakomboa watanzania.

Usichoke wala kukatishwa tamaa na yeyote, nashangaa sana ninaposoma post za watu wanaobeza jitihada zako, huku ukweli wa jinsi mtanzania anavyonyonywa ukionekana wazi kabisa, tanzania sio nchi masikini hata kidogo, ila watawala wetu ndio masikini wa akili na mawazo, ndio maana wako mstari wa mbele kuhujumu nchi yao wenyewe kwa tamaa zao. hakika umewafumbua macho watanzania wengi, endelea na moyo wako wa ujasiri, hutasahaulika milele kwa ulichowafanyia watanzania.

Na mwisho endelea kuwa karibu na sisi, ni fahari sana kuwasiliana moja kwa moja na mtu wa hadhi yako. unakumbuka jk alikukimbia kwenye mdahalo pale Movenpick?

I AM PROUD OF YOU DR. W SLAA
 
Hua amkosi sababu nyie mapropaganda sukari tutengenze hapa then ufananishe na records za FAO? we wa wapi
Kazi sana kukuelezea,hamna cha maana kilichofanyika hapo! wamenufaika wafanyabiashara!!!
 
Ampe amri rais na ccm yeye kama nani? si anazitoa tu majukwaani au kwenye media? kuna hata barua anayoandika ya amri zake kwa rais? au ccm?
 
Sailor1
Kama ungelikuwa makini ungelisoma kwanza post yangu kuhusu "kutaja kifo cha Dokta Ballele" na kisha ndiyo uzungumze. Kwa kuwa hujasoma au kwa kuwa unakataa makusudi sina sababu ya kujibizana. Haya kama Dr Slaa na Chadema hatujazungumzia Sukari, siku 9 unazozungumzia zilikuwa za nini. Mbona mtoto wa miaka miwili atakushangaa kwa hoja zako. Sitapoteza muda kujibizana nawe kwa sababu haina tija na kuna ajenda muhimu zaidi na muda ni fedha. Nitaendelea kuwaelimisha wana/JF wenye nia ya kweli kutaka kujua ukweli
Tumsifu yesu kristu,nakuheshimu sana mzee Slaa lakini angalia unatumika vibaya sana na wenzio wanachadema,mbona wewe wanakupa misalaba ya kutaja taja majina na kuibua controversial issue in our country! kwanini kina Mbowe miaka yote tangu waanzishe chama hawajawahi kufanya unayoyafanya? kwanini hujiulizi mzee,wewe unachafuka wenzio wananemeeka na kazi zako,kingine mbona wao hawajitokezi humu jamvini kujibu hoja za CDM,ni wewe tuu kila mara au kidogo mkeo JOSEPHINE ndio huwa nawaona huu ndani,where is mbowe,mtei,ndesa,arif,lwakatare,prof safari etc? STOP BEING USED MY MZEE OTHERWISE ITAKULA KWAKO
 
Back
Top Bottom