Kumbuka.tumewafanyia nini wale raia wa Congo.Du mbona hiyoo ni hatari sana kwa majirani zetu kutufanyia hivyoo.....hapa Dar wa msumbiji wako wengi tuu...ss ni ndgu moja East Africa .Frelimo tuliwasaidia sana kupata uhuru.
Bas polen sana achane kulia lia rudin kwenye nchi yenu mtulizane mbona mimi niriludi niko home tz nakiga mishe zanguMr nanyupu acha ujinga asemacho huyo dada sio ambush hiyo huo ni unyama wanafanyiwa raia wageni wote huko cabo del gado hasa hasa wilaya ya montepuez yaani kwa sasa kumenuka hali ni mbaya kuliko unavyo fikiria wewe msako ni nyumba kwa nyumba ukikamatwa unanyanganywa kila kitu na unapandishwa kwenye gari na kisha pasport yako inachanwa na kurudishwa kwenu kibabe yote hayo ni kweri hakuna uongo hata mmoja
Bas polen sana achane kulia lia rudin kwenye nchi yenu mtulizane mbona mimi niriludi niko home tz nakiga mishe zangu
Na kumbuka hizo ambush hazijaanza leo huwa ni kila mwaka na watu tulikua tunashinda polin mfano mimi nilikimbilia namapa baada ya kutulia ndo nikarud nikaendelea kupiga kazi zangu kama kawaida
Afu kitu kingine police wa mozbiqu wanapenda sana hela aka dinyelu kwahiyo wakikubamba watoe umalizane nao bas
Duuu seriously ila nasikia askari wa huko ni wa ajabu sana hembu tuungane jama tusaidianeni kwa umoja wetu kuwanusuruHabari Wanajamvi::
Ujumbe unaotoka kwa binti Mtanzania Aliye Msumbiji Akifahamika kwa jina la Angel(Anna) Peter ukielekezwa Kwa Mwanahabari Maarufu (MILLARD AYO) ili aufikishe kwa Serikali ya Tanzania..
Kama haya ni kweli na Balozi wa Tanzania Msumbiji yupo,na hajashughulikia jambo hili aangaliwe kwa jicho la tatu..
Na pia kama kuna ukweli Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje ishughulikie jambo hili haraka sana.
NB: UNCONFIRMED
Kwahiyo ni vita bas kama ni vita inabidi tumushawishi mabeyo atume jeshi la kutosha hukoKaka sio hicho unacho fikiria huku ni zaidi ya hicho yaani wameziba mpaka njia hata ukipanda basi kwa hiyari yako kuna mageti wanakushusha mimi nimeshuhudia kwa macho yangu huo mziki sio wakawaida ni shida sasa watoke wanapita wapi
Haya yanafanywa na Polisi/Wanajeshi wa Msumbiji.?Mr nanyupu acha ujinga asemacho huyo dada sio ambush hiyo huo ni unyama wanafanyiwa raia wageni wote huko cabo del gado hasa hasa wilaya ya montepuez yaani kwa sasa kumenuka hali ni mbaya kuliko unavyo fikiria wewe msako ni nyumba kwa nyumba ukikamatwa unanyanganywa kila kitu na unapandishwa kwenye gari na kisha pasport yako inachanwa na kurudishwa kwenu kibabe yote hayo ni kweri hakuna uongo hata mmoja
Wewe acha kujitoa ufahamu unarudije wakati mipaka yote imefungwaBas polen sana achane kulia lia rudin kwenye nchi yenu mtulizane mbona mimi niriludi niko home tz nakiga mishe zangu
Na kumbuka hizo ambush hazijaanza leo huwa ni kila mwaka na watu tulikua tunashinda polin mfano mimi nilikimbilia namapa baada ya kutulia ndo nikarud nikaendelea kupiga kazi zangu kama kawaida
Afu kitu kingine police wa mozbiqu wanapenda sana hela aka dinyelu kwahiyo wakikubamba watoe umalizane nao bas
Je serikali ya msumbiji imebariki hayo manyanyaso.?Kaka sio hicho unacho fikiria huku ni zaidi ya hicho yaani wameziba mpaka njia hata ukipanda basi kwa hiyari yako kuna mageti wanakushusha mimi nimeshuhudia kwa macho yangu huo mziki sio wakawaida ni shida sasa watoke wanapita wapi
Kaka mimi nimekaa sana huko hawa watanzania wenzetu inabidi watumie akili sana kilichopo sio kurudi tu bali ni kukimbia kuna kipindi ilitokea mimi nilikimbilia namapa au wakati mwingine tulikua tinashinda polinWewe acha kujitoa ufahamu unarudije wakati mipaka yote imefungwa
Duuuu kweli nchi yangu Tanzania ni mahali salama pa kuishi over hakuna uongozi sasa nini maana ya ujirani mwema na sisi tukiamua kuwatimua wamakonde wa huko itakuwaje watu wa ajabu sana hawaKaka mimi nimekaa sana huko hawa watanzania wenzetu inabidi watumie akili sana kilichopo sio kurudi tu bali ni kukimbia kuna kipindi ilitokea mimi nilikimbilia namapa au wakati mwingine tulikua tinashinda polin
Kitu kingine hakuna kitu cha muhimu kama dinyelu kwa Police wa mozambiqano