Watanzania wakijiandaa kuwapokea taifa stars

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
2,307
Reaction score
3,018
Kigwangalla, kiongozi wa malaika mbinguni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
%E2%80%AA%2B255%20625%20358%20598%E2%80%AC%2020181118_213822.jpg
 
😂😂😂😂😂 Haijawahi kutokea hii watatemgenezwa mashabiki ambao wataitwa mashabiki kindakindaki wa taifa stars ili kuipokea kwa mavuvuzela
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hakuna namna, na hela zetu watapike
 
Maumbo ya wachezaji pia ni mgogoro, huwezi kuwa na beki mwenye umbo kama la Kessy ile hali wenzako wana wachezaji haiba ya Goliati.
Tatizo lishe duni kuku wamezoea kutumia Kama mboga au mpaka waweke kambi mtu ndo ashibe
 
Aliyesababisha mnamjua ila mnakwepesha tuu. Tulisema mpira ni mchezo sio vita hivyo huwezi kuwatisha wachezaji kwa kuwapa Pesa na kuwaambia mkifungwa mtatapika fedha hizi na wakashinda.
Timu yeyote yaweza kuifunga nyingine kama imejiandaa kimazoezi na kisaikolojia. Ndio maana Cameron aliwahi ifunga Argentina ajiwa bingwa na Senegal akamfunga France akiwa bingwa.
Mpira sio kununua korosho kibabe, na wajuzi tulipoiona ile approach siku ile tulijua Stars ndio kwa kheri tena Mashindano haya.
Namuonya na Haji Manara anapenda sana kutumia maneno kum quote MTU fulani kuhusu Mashindano yajayo ya Simba, shauri yake ataiponza Simba itolewe alfajiri na mapema.
Kuna watu sio wa kuwataja kwenye jambo!
 
NIMEKUELEWA SANA. To worsen the matter na jana akawa tweet kuwa anafuatilia Mchezo!
 
Back
Top Bottom