Watanzania wakijiandaa kuwapokea taifa stars

Aliyesababisha mnamjua ila mnakwepesha tuu. Tulisema mpira ni mchezo sio vita hivyo huwezi kuwatisha wachezaji kwa kuwapa Pesa na kuwaambia mkifungwa mtatapika fedha hizi na wakashinda.
Timu yeyote yaweza kuifunga nyingine kama imejiandaa kimazoezi na kisaikolojia. Ndio maana Cameron aliwahi ifunga Argentina ajiwa bingwa na Senegal akamfunga France akiwa bingwa.
Mpira sio kununua korosho kibabe, na wajuzi tulipoiona ile approach siku ile tulijua Stars ndio kwa kheri tena Mashindano haya.
Namuonya na Haji Manara anapenda sana kutumia maneno kum quote MTU fulani kuhusu Mashindano yajayo ya Simba, shauri yake ataiponza Simba itolewe alfajiri na mapema.
Kuna watu sio wa kuwataja kwenye jambo!

😂😂😂 umenena vyema sana sana
 
Tuliza kende halafu, Acha hizo pumba zako.
 
Duuh kwahiyo hapa sababu ni GUNDU
 
Hivi Wakuu baada ya kiki ya "Korosho&jkt" kuna kiki gani ipo sokoni wakuu...au tumsubili wa Chattel?.....Naulza2
 
Back
Top Bottom