Watanzania wakamatwa na vilipuzi wakiviingiza Kenya kimagendo

Kwaio vilipuzi vitokee wapi ili isiwe hatari? USA sio?

Tatizo mumezoea janja janja nyingi, vilipuzi sio kitu cha kuingiza kimagendo, ukizingatia tumewahi kukamata magaidi kutokea nchi yenu.
 
The suspects are a driver of the truck and his turnboy, both identified as Tanzanian, and a person who presented himself at the station with a mining permit and claiming to be the owner of the detonators.

“Upon being interviewed, the driver claimed the detonators were handed over to him at Taveta town to be delivered to the owner at Mwatate,” KRA said in the statement.

Mimi kingereza changu kibovu mkuu, sina lugha ya kitumwa ni mwafrika halisi na huru. Hebu niambie utaifa wa huyo jamaa aliejipeleka hapo station ku-claim kuwa huo mzigo wa vilipuzi ni wa kwake?

Usipoteze Mda na watu wanaofikiri kuwa wao ndio kila kitu. Na Mtu akiwa na fikra hasi na nchi yako huwezi kumbadili, wakati mwingine uwezo wao wa kufikiri umeishia kwenye CORONA
 
Usipoteze Mda na watu wanaofikiri kuwa wao ndio kila kitu. Na Mtu akiwa na fikra hasi na nchi yako huwezi kumbadili, wakati mwingine uwezo wao wa kufikiri umeishia kwenye CORONA

Mbona hamueleweki, muingize vilipuzi kimagendo ila msisemwe, tuko makini sana siku hizi, tangu mlipoanza kulialia muachiwe muingie bila kupimwa, mnakaguliwa sana na ndio maana mnaumbuka kiulaini.
 
Watz wa leo ni wazee wa vilipuziiii. Toka msumbiji hadi tavetaaa😅😂
ila hongera sn vyombo vya dolaa, mipakani kumenoga sanaa seloo zimejaaa waswahiliii!
 
Tatizo mumezoea janja janja nyingi, vilipuzi sio kitu cha kuingiza kimagendo, ukizingatia tumewahi kukamata magaidi kutokea nchi yenu.
Kwaio unasema kuwa dereva wa gari ndio una wasiwasi nae ila mwenye mzigo hamna wasiwasi nae?
 
Kwaio unasema kuwa dereva wa gari ndio una wasiwasi nae ila mwenye mzigo hamna wasiwasi nae?

Nina wasiwasi na vilipuzi kuingizwa Kenya kutokea Tanzania. Tunapambana na magaidi wa kila namna.
 
Naona unakimbia kujibu maswali :D

Kwaio unataka vilipuzi vitoke wapi ambapo utakuwa huna wasiwasi napo? Huna wasiwasi na mnunuzi wa vilipuzi?

Kama lazima mlete vilipuzi huku acheni janja zenu, hakikisheni mnaheshimu sheria zetu, tatizo lenu hamjazoea kufuata kanuni na masharti, mnaishi kwa ujanja janja, inawezekana hivyo vilipuzi hamkua na nia ya ugaidi, ila mngefuata sheria hayangetokea haya.
 
Kwaio hilo unamwambia mmiliki wa ivo vilipuzi ama unamwambia nani aache ujanja ujanja? Kwani mmiliki ni raia wa wap?
 
Kwaio hilo unamwambia mmiliki wa ivo vilipuzi ama unamwambia nani aache ujanja ujanja? Kwani mmiliki ni raia wa wap?

Taarifa zimesema vilipuzi vimetokea Tanzania huku mkidanganya eti ni tobacco, mngefuata taratibu zetu wala hakuna ambaye angewasema.
 
Unaaandika Kiingereza kirefu kama hotuba ya kufunga mwaka lakini unashindwa kuelewa maana ya explosive detonator.
Ila kifupi unachuki na Tanzania na haupendi kabisa kuiona hii nchi ikiendelea kuwa kama Tanzania,sisi tutakuombea uishi miaka mingi na roho yako hiyo hiyo.
 
Sasa kama unajua hukusoma kingereza, ulikua kilaza darasani acha kung'ang'ania dhidi ya waliojituma.
Tafuta mtu akutafsirie nini maana ya "presented himself at the station"
Ana jaribu kukueleza ujinga wa Mwandishi kwa passive language tu kuwa, driver na turnboy sio issue . Mwenye mzigo amejitambulisha na vibali kwanini taarifa ianze kuwa adress dereva na turnboy.

Kwanini isisomeke kuwa Raia wa Kenya akamatwa na na vilipuzi kwenye lori lililokuwa na dereva mTz? Amefanya as if dereva na tingo wake ndio hoja.

Ni ujinga wa kiuandishi si kosa lake.
Mfano.

1.Polisi ampiga risasi raia wa kigeni
2. Raia wa kigeni apigwa risasi na polisi.

Je huoni hizi sentensi mbili kama zinafanana japo zina malengo tofauti?

Mwandishi ni Mjinga . Wakenya wenye uelewa wanajua wengi wao ni waelewa sana
 
Back
Top Bottom