Wapo wengi kiasi...kuna huyu mwingine huko Minnesota, anaitwa Alpha Mshihiri.
Aiseeeeeeeer kwanini wasirudi bongo kama maisha magumu huko?
Mahakama nzuri kuliko mjengo wa Magogoni, Lol
Phanuel Ligate kushoto akiwa kwenye wasaa wa kungaa na mdogo wake Bw.harusi Guy.
Wazazi wa Bw.harusi Brigedia Jenerali mstaafu Ligate na mke wake wakifuatilia ibada.
At the end of this, they all pleaded guilty [emphasis added].
Halafu ni watoto wa watu wazito na wakubwa wanaofanya mambo ya kuwaaibisha watanzania.
Kumbe tena wanatoka familia ambazo zipo bien,kwa hiyo pesa zao ni kwa ajili yake mkewe na watoto tu,bado wanataka kuiba,kwa nini wasitafute pesa kwa njia halali jamani?Brigedia achangishe wanajeshi wenzake na marafiki zao,walipe hizo pesa
wewe jamaa ni mdukuzi aisee, hivi max shimba hayumo kwenye orodha kweli?
Kama Edgar Tibakweitira, ambaye anajulikana pia kama Edgar Julian, Charles Edgar Tibakweitira au Edgar Gaudious Tibakweitira ni siyo mtoto wa mzee Gaudious Tibakweitira ambaye ni mjumbe wa Tume ya Maadili ya viongozi?
Pichani ni Rais Kikwete baada ya kuwaapisha viongozi wa Tume ya Maadili ya Viongozi, Mzee Tibakweitira ni wa pili kushoto mwaka 2010 source michuziblog.