All the way from Washington DC is Mr Phanuel Peter Ligate who is delighted to be here with His Excellency as he represents Tanzania Diaspora in the USA United States Attorney's Office for the District of Maryland
hivi kikwete anajisikiaje kupiga picha na majizi?
hivi kikwete anajisikiaje kupiga picha na majizi?
Huyo kwenye picha ndiye huyu kwenye video?
[video=youtube_share;RlD5iewcIxk]http://youtu.be/RlD5iewcIxk[/video]
Ndo yeye huyo.
Huoni hilo 'fro?
Hata jina kwenye hii video katambulishwa hilo hilo lililopo kwenye caption za hiyo picha hapo juu.
Kaaazi kweli kweli. Ila inaonekana ni wengi walikuwa kwenye hiyo scheme na wame-plead guilty.
na kuna jamaa mmoja Texas alilawitiwa jela! kwasababu ukienda jela la miaka mitano sio rumande unapelekwa jela la wahalifu na wengine huko ni wauaji.
wanaccm wenzake wezi tuu wotehivi kikwete anajisikiaje kupiga picha na majizi?
Teh teh teh.....huko ukikutana na Bubba lazima ale Tigo:biggrin1:.
Daaanh! !!! Damn big old boys!!!!!
We huogopi kukutana na Bubba? :becky::hatari:
Bongo sheria zingekua zinafanya kazi leo Mbowe nae angekua jera...amejibinafsisha nyumba ya Umma,na zille fedha za NSSF