Watanzania waitikisa Marekani kwa utapeli

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
supremecourt.jpg

Moja ya majengo ya Mahakama za nchini Marekani

View attachment 169225 _DSC1139.jpg View attachment 169226

Baadhi ya Watanzania wanaoishi Marekani huenda wakaozea jela baada ya kutiwa hatiani na wengine kukiri mahakamani kuhusika katika utapeli na wizi wa mamilioni ya Dola za Marekani, kupitia mikopo na upangishaji wa nyumba.

Hukumu ya hivi karibuni ni ya Mtanzania, Mokorya Cosmas Wambura (41) ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela na faini zaidi ya Dola 400,000 (zaidi ya Sh660 milioni) baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kutumia vitambulisho vya wizi na taarifa za kibenki za kughushi kufanya udanganyifu. Jaji Mfawidhi wa Mahakama ya Maryland, Deborah Chasanow katika hukumu yake, pia alisema Wambura ataendelea kuwa chini ya uangalizi kwa miaka mitano baada ya kumaliza kutumikia kifungo jela.

Wambura ambaye ni mkazi wa Takoma Park, Maryland alitiwa hatiani kwa kula njama za wizi wa mtandao na kuhusika katika matukio mawili tofauti ya kujipatia fedha kwa udanganyifu, akitumia vitambulisho vya wizi. Hukumu dhidi ya Wambura imetolewa wakati ambao Watanzania wengine kadhaa wakiwamo wawili waliokuwa washirika wake wakisubiri hukumu zao, baada ya kukiri kufanya makosa ya utapeli, kujipatia fedha kwa udanganyifu na wizi wa kutumia mtandao.

Watanzania hao ni Edgar Tibakweitira, ambaye pia anajulikana kwa majina mengine; Edgar Julian, Charles Edgar Tibakweitira na Edgar Gaudious Tibakweitira ambaye licha ya kukiri makosa yake pia alikubali kutoa gari lake aina ya Range Rover, kama sehemu ya malipo ya fedha atakazoamriwa kulipa na mahakama.

Baada ya kukiri makosa yake, hukumu ya Tibakweitira itatolewa Novemba 3 mwaka huu Saa 04:00 asubuhi, na kwa mujibu wa sheria za Maryland, adhabu ya makosa yake ni kifungo kisichozidi miaka 30 jela na faini ya Dola za Marekani milioni moja (Sh1.66 bilioni). Mbali na Tibakweitira ambaye ni mkazi wa Severn, Maryland, Mtanzania mwingine ambaye pia alikuwa mshirika wa Wambura ni Mrisho Mavuruma Mzese ambaye alitiwa hatiani Mei 1, 2014 kwa makosa 11 yanayohusiana na utapeli na wizi kwa njia ya mtandao.

Hukumu dhidi ya Mzese imepangwa kutolewa Agosti 7 mwaka huu Saa 8:00 mchana, huku akikabiliwa na adhabu kama ya Tibakweitira kwa mujibu wa sheria za Maryland.

Aprili 22 mwaka huu, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, Jimbo la Maryland ilitoa taarifa kuhusu Watanzania wengine wawili ambao walikiri mahakamani makosa ya kujipatia fedha kwa udanganyifu baada ya kutoa taarifa za uongo kuhusu ununuzi wa nyumba na ukarabati wa nyumba hizo.

Watanzania hao ni mkazi wa Ashburn, Virginia, Nsane Phanuel Ligate (42) ambaye ni wakala wa uuzaji wa nyumba na mshirika wake wa karibu Cane Mwihava (43) mkazi wa Bowie, Maryland. Watuhumiwa hao wanakabiliwa na adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela na kulipa faini ya Dola za Marekani milioni moja (Sh1.66 bilioni), watakapohukumiwa na Jaji Chasanow. Hukumu dhidi ya Mwihava imepangwa kutolewa Oktoba 14 mwaka huu saa 7:00 mchana wakati Ligate amepangwa kuhukumiwa siku mbili baadaye, Oktoba 16, 2014 saa 4:00 asubuhi.

Mtanzania mwingine ambaye anasubiri hukumu ni Gladyness Silaa (35) mkazi wa Bowie, Maryland ambaye pia alikiri kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Mashtaka mapya
Siku tatu kabla ya hukumu ya Juni 16 mwaka huu, Wambura alijikuta katika sakata lingine pale alipokamatwa na polisi na watu wengine watano, wakihusishwa na utapeli mwingine wa kujipatia Dola za Marekani 3.5 milioni (karibu Sh5.8 bilioni) kupitia mikopo ya fedha kwa ajili ya nyumba.

Taarifa ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, Jimbo la Maryland inawataja watuhumiwa wengine katika kesi hiyo mpya kuwa ni Tibakweitira na mkewe Flavia Makundi (41), Mkazi wa Gambrills, Maryland, Carmen Johnson (46), Mwihava na Annika Boas (36) ambaye anaishi Mount Ranier, Maryland.

Katika kesi hiyo mpya, watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashtaka ya kutumia vitambulisho vya wizi, nyaraka za ajira za kughushi na taarifa za uongo za mikopo kujipatia kiasi hicho cha fedha kupitia biashara za nyumba.

Wanashtakiwa kwa makosa 21 ambayo wanadaiwa kuyafanya kati ya Machi 2007 na Novemba 2008 kwa kujipatia fedha za ziada katika biashara za nyumba kadhaa kinyume cha thamani halisi ya nyumba hizo katika soko.

Tibakweitira ambaye alikuwa wakala wa biashara ya nyumba akiongoza kampuni za Century 21 Advantage Realty na Elite Real Estate Group, anatuhumiwa kuongeza ‘cha juu' kwenye mauzo ya nyumba, akiambatanisha vielelezo vya kughushi vinavyoonyesha kwamba nyumba husika zilikuwa zimefanyiwa ukarabati, kumbe siyo kweli.

Kwa kufanya hivyo, mtuhumiwa huyo alijipatia kiasi kikubwa cha fedha za mkopo kutoka benki.

Maelezo ya mashtaka yanasema watuhumiwa hao sita walitumia vitambulisho feki na vya wizi, fomu feki za mikopo, nyaraka za kibenki zilizoghushiwa na taarifa za uongo za mikopo kushawishi wakuu wa taasisi za utoaji za fedha na nyumba kutoa mikopo kwa Wambura, Mwihava na Boas ambao pia walikuwa wanunuzi feki wa nyumba.

Taarifa za kiuchunguzi zinadai kuwa, fedha hizo ambazo zilipatikana kwa njia ya udaganyifu ziliondolewa kwenye akaunti za waliodaiwa kuwa wakopaji na kuhamishiwa kwenye Kampuni za Destiny Property Management na Destiny Property Management Co. - shell ambazo ni mali ya Tibakweitira kwa malengo kwamba zilipaswa kutumika kwa ajili ya ukarabati.

Hata hivyo, ukarabati huo haukuwahi kufanyika, badala yake fedha zilizoombwa kama mkopo kwa ajili hiyo ziligawanywa kwa watuhumiwa wote sita.

Kwa mujibu wa hatia ya mashtaka, watuhumiwa hao wanadaiwa kusababisha hasara ya Dola za Marekani milioni moja (zaidi ya Sh1.66 bilioni) kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Nyumba,ambayo ndiyo inayodhamini mikopo.

Pia hasara hiyo inazigusa taasisi nyingine zikiwamo Shirika la Taifa la Mikopo ya Nyumba na Shirika la Taifa la Makazi, taasisi ambazo zilinunua nyumba husika baadaye gharama zake kuonekana kuwa kubwa kuliko uhalisia.

Watanzania hao ni sehemu ya mamia ya watuhumiwa ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani baada ya kuundwa kwa kikosikazi cha kukabiliana na uhalifu katika sekta ya nyumba eneo la Maryland, chenye uwakilishi wa taasisi zote zinazohusika na sekta hiyo na vyombo vya dola.

Baadhi ya Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania uliopo Washington DC walikiri kufahamu uwepo wa kesi dhidi ya Watanzania hao na kwamba hilo ni jambo la kawaida kwa wahalifu kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.

"Sheria zipo kwa ajili ya wahalifu, sasa kama ikitokea mtu akafanya uhalifu, wenzetu hapa wako makini sana, lazima utakamatwa na kufikishwa mahakamani na ukitiwa hatiani unafungwa au unatozwa faini kwa mujibu wa sheria za nchi," alisema Lily Munanka ambaye ni Mkuu wa Utawala katika ubalozi huo.

Attachments

  • _DSC1120.JPG
    _DSC1120.JPG
    27.4 KB · Views: 2,358
  • _DSC1127.JPG
    _DSC1127.JPG
    27.4 KB · Views: 2,383
Watakuja humu wanaowafahamu halafu tutajua tu "wawekezaji" ilikuwaje wakanasa kabla ya uraia pacha!!!!
 
supremecourt.jpg

Moja ya majengo ya Mahakama za nchini Marekani

View attachment 169205 View attachment 169203 View attachment 169204

Tibakweitira ambaye alikuwa wakala wa biashara ya nyumba akiongoza kampuni za Century 21 Advantage Realty na Elite Real Estate Group, anatuhumiwa kuongeza ‘cha juu’ kwenye mauzo ya nyumba, akiambatanisha vielelezo vya kughushi vinavyoonyesha kwamba nyumba husika zilikuwa zimefanyiwa ukarabati, kumbe siyo kweli.

Kwa kufanya hivyo, mtuhumiwa huyo alijipatia kiasi kikubwa cha fedha za mkopo kutoka benki.

Maelezo ya mashtaka yanasema watuhumiwa hao sita walitumia vitambulisho feki na vya wizi, fomu feki za mikopo, nyaraka za kibenki zilizoghushiwa na taarifa za uongo za mikopo kushawishi wakuu wa taasisi za utoaji za fedha na nyumba kutoa mikopo kwa Wambura, Mwihava na Boas ambao pia walikuwa wanunuzi feki wa nyumba.

Taarifa za kiuchunguzi zinadai kuwa, fedha hizo ambazo zilipatikana kwa njia ya udaganyifu ziliondolewa kwenye akaunti za waliodaiwa kuwa wakopaji na kuhamishiwa kwenye Kampuni za Destiny Property Management na Destiny Property Management Co. — shell ambazo ni mali ya Tibakweitira kwa malengo kwamba zilipaswa kutumika kwa ajili ya ukarabati.

Hata hivyo, ukarabati huo haukuwahi kufanyika, badala yake fedha zilizoombwa kama mkopo kwa ajili hiyo ziligawanywa kwa watuhumiwa wote sita.

Kwa mujibu wa hatia ya mashtaka, watuhumiwa hao wanadaiwa kusababisha hasara ya Dola za Marekani milioni moja (zaidi ya Sh1.66 bilioni) kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Nyumba,ambayo ndiyo inayodhamini mikopo.

Pia hasara hiyo inazigusa taasisi nyingine zikiwamo Shirika la Taifa la Mikopo ya Nyumba na Shirika la Taifa la Makazi, taasisi ambazo zilinunua nyumba husika baadaye gharama zake kuonekana kuwa kubwa kuliko uhalisia.

Watanzania hao ni sehemu ya mamia ya watuhumiwa ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani baada ya kuundwa kwa kikosikazi cha kukabiliana na uhalifu katika sekta ya nyumba eneo la Maryland, chenye uwakilishi wa taasisi zote zinazohusika na sekta hiyo na vyombo vya dola.

Baadhi ya Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania uliopo Washington DC walikiri kufahamu uwepo wa kesi dhidi ya Watanzania hao na kwamba hilo ni jambo la kawaida kwa wahalifu kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.

“Sheria zipo kwa ajili ya wahalifu, sasa kama ikitokea mtu akafanya uhalifu, wenzetu hapa wako makini sana, lazima utakamatwa na kufikishwa mahakamani na ukitiwa hatiani unafungwa au unatozwa faini kwa mujibu wa sheria za nchi,” alisema Lily Munanka ambaye ni Mkuu wa Utawala katika ubalozi huo.

Safi wanachukua mali zetu wazungu walizo tuibia
 
Aiseeeeeeeer kwanini wasirudi bongo kama maisha magumu huko?
 
Sasa Chadema inahusiana vipi na huo utapeli.?
 
download.jpg Wa kushoto Edgar Tibakweitira

Maryland man pleads guilty in 2 residential mortgage fraud schemes
Man used stolen identities and false info to obtain home mortgage loans

GREENBELT, Md. - A Takoma Park, Md., man pleaded guilty Wednesday to conspiring to commit wire fraud and aggravated identity theft arising from two separate residential mortgage fraud schemes.

The guilty plea of Mokorya Cosmas Wambura, 45, follows a joint investigation conducted by the U.S. Department of Housing and Urban Development Office of Inspector General, Office of Investigations; Federal Housing Finance Agency Office of Inspector General (FHFA-OIG); U.S. Department of the Treasury, Office of Inspector General Treasury; U.S. Secret Service, Washington Field Office and U.S. Immigration and Customs Enforcement's (ICE) Homeland Security Investigations (HSI) Baltimore field office.

According to his plea agreement and court documents, from March 2007 to November 2008, Wambura conspired with real estate agent Tibakweitira and others to use the identity of another individual without lawful authority to buy residential property. For example, in June 2008, Wambura used the stolen identity of another person, along with false income statements and credit information, to buy a residence in Hyattsville, Md. The conspirators inflated the value of the property by creating false documents for repairs and renovations that were never made. After the settlement, the conspirators divided up the cash received for the purported repairs.

During the second fraud scheme from July 2007 to May 2009, a conspirator sold his residence in Silver Spring, Md., to Wambura, and attempted to conceal the scheme by using the identity of Wambura's friend and roommate, without lawful authority, as the purported buyer. Wambura again made false statements about the buyer's assets and income. For example, Wambura listed a joint credit union account held by Wambura and his friend as an asset, which Wambura created without his friend's knowledge. After securing the mortgage and obtaining possession of the residence, Wambura continued to use his friend's stolen identity to become a Section 8 landlord for federally subsidized funds. Wambura received portions of the monthly rent paid by the tenant. Wambura and his conspirator also caused $29,186 in government housing program assistance checks, payable to Wambura's friend, to be mailed to Wambura.

As a result of the two conspiracies, Wambura caused between $400,000 and $1 million in losses to federally insured financial institutions.

At his June 16 sentencing before Chief U.S. District Judge Deborah K. Chasanow, Wambura faces up to 30 years in prison and a $1 million fine on each of two wire fraud conspiracy counts, and a mandatory minimum of two years for aggravated identity theft consecutive to any other sentence.
Edgar Tibakweitira, aka Edgar Julian, Charles Edgar Tibakweitira and Edgar Gaudious Tibakweitira, 37, of Severn, Md., previously pleaded guilty to the conspiracy and to aggravated identity theft, and has agreed to forfeit a Range Rover vehicle. Tibakweitira is scheduled to be sentenced May 6.
Wambura and Tibakweitira are both detained pending their sentencings.

The Maryland Mortgage Fraud Task Force was established to unify the agencies that regulate and investigate mortgage fraud and promote the early detection, identification, prevention and prosecution of mortgage fraud schemes. This case, as well as other cases brought by members of the Task Force, demonstrates the commitment of law enforcement agencies to protect consumers from fraud and promote the integrity of the credit markets. Information about mortgage fraud prosecutions is available atwww.justice.gov/usao/md/Mortgage-Fraud/index.html.

The announcement is part of efforts underway by President Obama's Financial Fraud Enforcement Task Force, which was created November 2009 to wage an aggressive, coordinated and proactive effort to investigate and prosecute financial crimes. With more than 20 federal agencies, 94 U.S. attorneys' offices and state and local partners, it's the broadest coalition of law enforcement, investigatory and regulatory agencies ever assembled to combat fraud. Since its formation, the task force has made great strides in facilitating increased investigation and prosecution of financial crimes; enhancing coordination and cooperation among federal, state and local authorities; addressing discrimination in the lending and financial markets and conducting outreach to the public, victims, financial institutions and other organizations. Over the past three fiscal years, the Justice Department has filed more than 10,000 financial fraud cases against nearly 15,000 defendants including more than 2,700 mortgage fraud defendants. For more information on the task force, visitwww.stopfraud.gov.

The case is being prosecuted in the District of Maryland by Assistant U.S. Attorney Kristi N. O'Malley and Special Assistant U.S. Attorney Kevin DiGregory, Investigative Counsel for FHFA-OIG.
 
Wazanzibari si Watanzania, Watanganyika ndio Watanzania kila kukicha aibu tupu.

Sent from my iPhone
 
namuona kijana KALEY AMRI analisongesha gurudumu la CHADEMA,amenikumbusha FORODHANI 1992-1995
supremecourt.jpg

Moja ya majengo ya Mahakama za nchini Marekani

View attachment 169205 View attachment 169203 View attachment 169204

Baadhi ya Watanzania wanaoishi Marekani huenda wakaozea jela baada ya kutiwa hatiani na wengine kukiri mahakamani kuhusika katika utapeli na wizi wa mamilioni ya Dola za Marekani, kupitia mikopo na upangishaji wa nyumba.

Hukumu ya hivi karibuni ni ya Mtanzania, Mokorya Cosmas Wambura (41) ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela na faini zaidi ya Dola 400,000 (zaidi ya Sh660 milioni) baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kutumia vitambulisho vya wizi na taarifa za kibenki za kughushi kufanya udanganyifu. Jaji Mfawidhi wa Mahakama ya Maryland, Deborah Chasanow katika hukumu yake, pia alisema Wambura ataendelea kuwa chini ya uangalizi kwa miaka mitano baada ya kumaliza kutumikia kifungo jela.

Wambura ambaye ni mkazi wa Takoma Park, Maryland alitiwa hatiani kwa kula njama za wizi wa mtandao na kuhusika katika matukio mawili tofauti ya kujipatia fedha kwa udanganyifu, akitumia vitambulisho vya wizi. Hukumu dhidi ya Wambura imetolewa wakati ambao Watanzania wengine kadhaa wakiwamo wawili waliokuwa washirika wake wakisubiri hukumu zao, baada ya kukiri kufanya makosa ya utapeli, kujipatia fedha kwa udanganyifu na wizi wa kutumia mtandao.

Watanzania hao ni Edgar Tibakweitira, ambaye pia anajulikana kwa majina mengine; Edgar Julian, Charles Edgar Tibakweitira na Edgar Gaudious Tibakweitira ambaye licha ya kukiri makosa yake pia alikubali kutoa gari lake aina ya Range Rover, kama sehemu ya malipo ya fedha atakazoamriwa kulipa na mahakama.

Baada ya kukiri makosa yake, hukumu ya Tibakweitira itatolewa Novemba 3 mwaka huu Saa 04:00 asubuhi, na kwa mujibu wa sheria za Maryland, adhabu ya makosa yake ni kifungo kisichozidi miaka 30 jela na faini ya Dola za Marekani milioni moja (Sh1.66 bilioni). Mbali na Tibakweitira ambaye ni mkazi wa Severn, Maryland, Mtanzania mwingine ambaye pia alikuwa mshirika wa Wambura ni Mrisho Mavuruma Mzese ambaye alitiwa hatiani Mei 1, 2014 kwa makosa 11 yanayohusiana na utapeli na wizi kwa njia ya mtandao.

Hukumu dhidi ya Mzese imepangwa kutolewa Agosti 7 mwaka huu Saa 8:00 mchana, huku akikabiliwa na adhabu kama ya Tibakweitira kwa mujibu wa sheria za Maryland.

Aprili 22 mwaka huu, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, Jimbo la Maryland ilitoa taarifa kuhusu Watanzania wengine wawili ambao walikiri mahakamani makosa ya kujipatia fedha kwa udanganyifu baada ya kutoa taarifa za uongo kuhusu ununuzi wa nyumba na ukarabati wa nyumba hizo.

Watanzania hao ni mkazi wa Ashburn, Virginia, Nsane Phanuel Ligate (42) ambaye ni wakala wa uuzaji wa nyumba na mshirika wake wa karibu Cane Mwihava (43) mkazi wa Bowie, Maryland. Watuhumiwa hao wanakabiliwa na adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela na kulipa faini ya Dola za Marekani milioni moja (Sh1.66 bilioni), watakapohukumiwa na Jaji Chasanow. Hukumu dhidi ya Mwihava imepangwa kutolewa Oktoba 14 mwaka huu saa 7:00 mchana wakati Ligate amepangwa kuhukumiwa siku mbili baadaye, Oktoba 16, 2014 saa 4:00 asubuhi.

Mtanzania mwingine ambaye anasubiri hukumu ni Gladyness Silaa (35) mkazi wa Bowie, Maryland ambaye pia alikiri kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Mashtaka mapya
Siku tatu kabla ya hukumu ya Juni 16 mwaka huu, Wambura alijikuta katika sakata lingine pale alipokamatwa na polisi na watu wengine watano, wakihusishwa na utapeli mwingine wa kujipatia Dola za Marekani 3.5 milioni (karibu Sh5.8 bilioni) kupitia mikopo ya fedha kwa ajili ya nyumba.

Taarifa ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, Jimbo la Maryland inawataja watuhumiwa wengine katika kesi hiyo mpya kuwa ni Tibakweitira na mkewe Flavia Makundi (41), Mkazi wa Gambrills, Maryland, Carmen Johnson (46), Mwihava na Annika Boas (36) ambaye anaishi Mount Ranier, Maryland.

Katika kesi hiyo mpya, watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashtaka ya kutumia vitambulisho vya wizi, nyaraka za ajira za kughushi na taarifa za uongo za mikopo kujipatia kiasi hicho cha fedha kupitia biashara za nyumba.

Wanashtakiwa kwa makosa 21 ambayo wanadaiwa kuyafanya kati ya Machi 2007 na Novemba 2008 kwa kujipatia fedha za ziada katika biashara za nyumba kadhaa kinyume cha thamani halisi ya nyumba hizo katika soko.

Tibakweitira ambaye alikuwa wakala wa biashara ya nyumba akiongoza kampuni za Century 21 Advantage Realty na Elite Real Estate Group, anatuhumiwa kuongeza ‘cha juu' kwenye mauzo ya nyumba, akiambatanisha vielelezo vya kughushi vinavyoonyesha kwamba nyumba husika zilikuwa zimefanyiwa ukarabati, kumbe siyo kweli.

Kwa kufanya hivyo, mtuhumiwa huyo alijipatia kiasi kikubwa cha fedha za mkopo kutoka benki.

Maelezo ya mashtaka yanasema watuhumiwa hao sita walitumia vitambulisho feki na vya wizi, fomu feki za mikopo, nyaraka za kibenki zilizoghushiwa na taarifa za uongo za mikopo kushawishi wakuu wa taasisi za utoaji za fedha na nyumba kutoa mikopo kwa Wambura, Mwihava na Boas ambao pia walikuwa wanunuzi feki wa nyumba.

Taarifa za kiuchunguzi zinadai kuwa, fedha hizo ambazo zilipatikana kwa njia ya udaganyifu ziliondolewa kwenye akaunti za waliodaiwa kuwa wakopaji na kuhamishiwa kwenye Kampuni za Destiny Property Management na Destiny Property Management Co. - shell ambazo ni mali ya Tibakweitira kwa malengo kwamba zilipaswa kutumika kwa ajili ya ukarabati.

Hata hivyo, ukarabati huo haukuwahi kufanyika, badala yake fedha zilizoombwa kama mkopo kwa ajili hiyo ziligawanywa kwa watuhumiwa wote sita.

Kwa mujibu wa hatia ya mashtaka, watuhumiwa hao wanadaiwa kusababisha hasara ya Dola za Marekani milioni moja (zaidi ya Sh1.66 bilioni) kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Nyumba,ambayo ndiyo inayodhamini mikopo.

Pia hasara hiyo inazigusa taasisi nyingine zikiwamo Shirika la Taifa la Mikopo ya Nyumba na Shirika la Taifa la Makazi, taasisi ambazo zilinunua nyumba husika baadaye gharama zake kuonekana kuwa kubwa kuliko uhalisia.

Watanzania hao ni sehemu ya mamia ya watuhumiwa ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani baada ya kuundwa kwa kikosikazi cha kukabiliana na uhalifu katika sekta ya nyumba eneo la Maryland, chenye uwakilishi wa taasisi zote zinazohusika na sekta hiyo na vyombo vya dola.

Baadhi ya Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania uliopo Washington DC walikiri kufahamu uwepo wa kesi dhidi ya Watanzania hao na kwamba hilo ni jambo la kawaida kwa wahalifu kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.

"Sheria zipo kwa ajili ya wahalifu, sasa kama ikitokea mtu akafanya uhalifu, wenzetu hapa wako makini sana, lazima utakamatwa na kufikishwa mahakamani na ukitiwa hatiani unafungwa au unatozwa faini kwa mujibu wa sheria za nchi," alisema Lily Munanka ambaye ni Mkuu wa Utawala katika ubalozi huo.

hahahaha, tatizo tamaa, hizi wenzao walishafanya zamani wakaacha, loan fraud, mortgage, financing ya magari, tax refund, car hire kama za kina mponjoli na takataka zingine hizo wenye akili zao walishaacha zamani, hawa wapumbavu ndiyo wanajichomeka kitoto kabisa na kampuni zinajulikana zao, utachomokaje hapo?!!
 
[h=1] photo.jpg Two Conspirators Plead Guilty In Mortgage Fraud Scheme[/h]FOR IMMEDIATE RELEASE
April 22 , 2014
Greenbelt, Maryland – Real estate agent Nsane Phanuel Ligate, age 42, of Ashburn, Virginia, pleaded guilty today to conspiring to commit wire fraud in connection with a mortgage scheme involving the purchase of two properties located on North Patterson Park Avenue in Baltimore. Co-defendant Cane Mwihava, age 43, of Bowie, Maryland pleaded guilty to the same offense yesterday.
The guilty pleas were announced by United States Attorney for the District of Maryland Rod J. Rosenstein; Acting Inspector General Michael P. Stephens of the Federal Housing Finance Agency, Office of Inspector General (FHFA-OIG); Special Agent in Charge Cary A. Rubenstein of the Housing and Urban Development Office of Inspector General (HUD); Special Agent in Charge Brian Murphy of the United States Secret Service - Baltimore Field Office; and Special Agent in Charge William Winter of U.S. Immigration and Customs Enforcement's (ICE) Homeland Security Investigations (HSI).

According to their pleas, in 2008, Ligate and his co-conspirators identified two properties for sale located at 424 and 444 North Patterson Park Avenue in Baltimore. Also at that time, Mwihava established a shell company called Xavier Engineering and Construction Company (XECC) to receive settlement disbursements for purported home renovations. With assistance from Ligate, co-conspirator Gladyness Silaa acted as the real estate agent; and co-conspirator Larry Johnson acted as the buyer. Ligate, Silaa and Johnson included false statements in the loan applications for both properties regarding Johnson's employment, income, credit and assets. Mwihava and Ligate falsely inflated the purchase price of the properties by representing to lenders that repairs and renovations had been completed on each property by XECC, including installation of premium kitchen cabinets, granite countertops, stainless steel appliances and marble flooring. None of the purported renovations or repairs were in fact performed.
After the settlement of the properties, the settlement agent disbursed a total of $108,860 to XECC, the amount shown on false invoices submitted for the purported renovations. Mwihava then divided these funds between himself, Ligate, Silaa and Johnson.
On June 5 and 9, 2008, Ligate and Mwihava caused banks to wire transfer $181,159.65, and $179,866.93, respectively, to the title agent to complete the settlement transactions. These amounts were needed to fund the original loan amounts plus additional costs and fees associated with the closings.

As a result of the conspiracy, HUD, which insured the loan for 424 North Patterson Park Avenue suffered a loss of $164,090, and a bank which was the lender for the other property suffered a loss of $188,001.58.

The defendants face a maximum sentence of 30 years in prison and a $1 million fine. Chief U.S. District Judge Deborah K. Chasanow scheduled sentencing for Mwihava on October 14, 2014, at 1:00 p.m. and for Ligate on October 16, 2014 at 10:00 a.m.
Gladyness Silaa, age 35, of Bowie, previously pleaded guilty to conspiracy to commit wire fraud and her sentencing is scheduled for June 16, 2014 at 10:00 a.m. Larry Johnson, age 57, previously pleaded guilty to making false statements in a loan application and was sentenced on February 24, 2014 to eight months in prison consecutive to the current sentence he is serving on an unrelated case.

The Maryland Mortgage Fraud Task Force was established to unify the agencies that regulate and investigate mortgage fraud and promote the early detection, identification, prevention and prosecution of mortgage fraud schemes. This case, as well as other cases brought by members of the Task Force, demonstrates the commitment of law enforcement agencies to protect consumers from fraud and promote the integrity of the credit markets. Information about mortgage fraud prosecutions is available www.justice.gov/usao/md/Mortgage Fraud/index.html.

Today=s announcement is part of efforts underway by President Obama=s Financial Fraud Enforcement Task Force (FFETF) which was created in November 2009 to wage an aggressive, coordinated and proactive effort to investigate and prosecute financial crimes. With more than 20 federal agencies, 94 U.S. attorneys= offices and state and local partners, it=s the broadest coalition of law enforcement, investigatory and regulatory agencies ever assembled to combat fraud. Since its formation, the task force has made great strides in facilitating increased investigation and prosecution of financial crimes; enhancing coordination and cooperation among federal, state and local authorities; addressing discrimination in the lending and financial markets and conducting outreach to the public, victims, financial institutions and other organizations. Over the past three fiscal years, the Justice Department has filed more than 10,000 financial fraud cases against nearly 15,000 defendants including more than 2,700 mortgage fraud defendants. For more information on the task force, visit StopFraud.gov - Financial Fraud Enforcement Task Force.

United States Attorney Rod J. Rosenstein commended the FHFA- OIG, HUD-OIG, Secret Service and HSI Baltimore for their work in the investigation. Mr. Rosenstein thanked Assistant U.S. Attorney Kristi N. O'Malley and Special Assistant U.S. Attorney Kevin DiGregory, from the Federal Housing Finance Agency, Office of Inspector General, who are prosecuting the case.
 
d60.jpg All the way from Washington DC is Mr Phanuel Peter Ligate who is delighted to be here with His Excellency as he represents Tanzania Diaspora in the USA United States Attorney's Office for the District of Maryland

04/22/2014 | Press release
Two Conspirators Plead Guilty In Mortgage Fraud Scheme

Provided False Information About the Buyer and Property Renovations

Greenbelt, Maryland - Real estate agent Nsane Phanuel Ligate, age 42, of Ashburn, Virginia, pleaded guilty today to conspiring to commit wire fraud in connection with a mortgage scheme involving the purchase of two properties located on North Patterson Park Avenue in Baltimore. Co-defendant Cane Mwihava, age 43, of Bowie, Maryland pleaded guilty to the same offense yesterday.

Back
Top Bottom