Watanzania waishio Gauteng, Afrika Kusini kuanzisha jumuia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania waishio Gauteng, Afrika Kusini kuanzisha jumuia

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Maverick, Oct 6, 2009.

 1. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2009
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini unapenda kuwatangazia watanzania wanaoishi katika jimbo la Gauteng kuwa kutakuwa na mkutano wa watanzania wanaoishi katika jimbo hilo utakaofanyika tarehe 24 oktoba, 2009 saa nane na nusu mchana hadi saa kumi na moja jioni katika ukumbi wa Pretoria Country Club, namba 241 mtaa wa Sydney, Waterkloof, Pretoria.

  Mkutano huo una lengo la kuanzisha jumuiya ya watanzania katika jimbo hilo.

  Tafadhali tunaomba kuvaa nadhifu na kuzingatia muda.

  Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na wafuatao:

  1. Jumanne Fhika 0762 909449

  2. Faustine Ndugulile 0799 965120

  3. Laurean Rugambwa 0835 566966

  4. Lumbi na Ethel 012 344371/012 3425921


  IMETOLEWA TAREHE: 3.10.2009

  UBALOZI WA TANZANIA- PRETORIA
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Oct 6, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  mkuu hakuna hata email
   
 3. o

  omarfh New Member

  #3
  Aug 22, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jee huu umoja bado upo?

   
 4. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hii document bado ni valid kweli?
   
 5. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  KAma uko huko mkuu wacheck wao ndo wataverify!
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haya mambo, mara utasikia ooh tawi ta CCM South Africa
   
Loading...