Watanzania wa nje ya nchi tuchangie vifaa vya kuzuia kuwashwa na mabomu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wa nje ya nchi tuchangie vifaa vya kuzuia kuwashwa na mabomu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andrews, Aug 29, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nikiwa kama mtanzania ninayeishi uk naanzisha harambee ya kununua mask na na miwani ya kuzuia macho yasidhurike na mabomu ya askari wa ccm ffu chadema inapofanya mikutano,maana sasa lazima tujitolee kwa hali na mali kuikomboa nchi yetu kaburu aliwauwa akina solomoni mahlangu akina steve biko lakini mauwaji na mabomu na mbwa kuuma watu na kumuweka mandela ndani kwa miaka 27 haikurudisha nyuma mapambano ya kuwaondoa makaburu na leo afrika kusini ni nchi huru na ccm ifahamu vijana wananguvu kuliko ffu na polisi wao iko siku tutasema sasa basi na hapo kikwete na maswahiba zake watakumbukwa kwa uandaaji wao wa umwagaji wa damu is amatter of time bomu la tz likilipuka hakuna atakayesalimika ndani ya ccm maana lazima kuwashugulikia kwa njia hiyo hyo wanayoitumia.nitajitolea mask 1000 na miwani yake kwa kuanzia hili halina utani wala mjadala.
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Duh..libya Diaspora ilianza hivihivi,wakapeleka ambulance ,mara misosi mara sijui nini,mara ikawa hobby,wakaanza piga kambi nchi jirani.Ghaddafi akadhani mzaha mara ghaddafi akatrigger leo hayupo.
   
Loading...