Watanzania wa Igunga

Watanzania wa Igunga

Na hivyo vyote itatoa CDM au utatoa wewe? Mbunge wenu hata nguo ya maana hana, kiwembe cha ndevu kinamshinda sasa ataleta maendeleo gani? Hebu tueleze ukweli. maji,umeme,mafuta,sukari na mengine yote Slaa ataviagiza mbinguni?
Nilijua tuu kazi yako kushabikia wezi waliofirisi hii nchi, huna maana huna lolote wewe pia ni gamba namba mbili, tutawangoa tuu tunaanza na Igunga!!!!!!!!! Wana Igunga funguka poromosha majizi ya CCM piga chini!!!!!!!!!!
 
Wakichagua CCm basi hawana akili,wakichagua CDM ndio wana akili.

Hizi ndio siasa anawafundisha Slaa?
Umefika Moshi ukaona huo mji au unajisemea na kupayuka tuu!!!!!!!!!! Huo ni mfano hai, CDM wapo kikazi zaidi sio kuwaibia wananchi mali zao!!!!!!!!!!!!!!! Igunga chagua CHADEMA achana na wana maghamba!!!!!!!!!!
 
Ushauri mzuri sana huo! Hata hivyo naomba kupata matokeo ya score card ya majimbo ambayo Chadema wameyanyakua katika uchaguzi uliopita. Kwetu Mbeya Mjini na kwa wenzetu kule Ubungo na Singida Mashariki, hakuna hata kero moja tuliyoahidiwa kutatuliwa ambayo imeguswa. Hali ya Igunga ya leo haitabadilika chochote kwa ahadi za watu ambao walituahidi asali na maziwa na mpaka sasa hata maji ya kunywa hatujayaona.
Serikali ilyoko madarakani ni CCM wanaweza kuamua kuwakaushia kutekeleza ahadi zao lakini bungeni wanasema na kutetea wananchi zidi ya wezi wa mchana!!!!!!!!
 
Watanzania wenzetu wa Igunga Tabora kama kweli mnayo akili huu ndo wakati wa kuondoa chama ambacho kimezidi kutupeleka gizani inabidi muonyeshe kweli mabadiliko yanawezekana huu ndo wakati hakuna mwingine jaribu kufikiri tabu unazopata kwanzia shida ya maji, umeme, mafuta na sasa tunaelekea kwenye sukari na mengi ambayo hayakustaili tuyapate kwa utajiri tulionao sasa wakati wa mabadiliko ndo huu!

Hali halisi inaonekana jamani sasa wana Igunga kwa nini msisome alama za nyakati katika hili ebu fanyeni changes huko sasa amueni mabadiliko hatuwezi kufika popoet katika mtindo huu maisha yanazidi kuwa magumu longolongo kwa viongozi wetu zinazidi siku hadi Hakuna linalotekelezeka jamani!!
 
Wana Igunga fanyeni mabadiliko huko ebu someni alama za nyakati Maisha yanazidi kuwa magumu sasa kwa nini tuendelee na mfumo huu wapi tunapelekwa maana hao viongozi wetu tuliowapa dhamana hakuna jipya zaidi ya ahadi zisizotekelezeka tu sasa kwa nini msifanye maamuzi sahii jamani wengine watajifunza kupitia huko ktk jimbo lenu hilo.wish u luck wana Igunga

By Ras Oddo
 
Tunaendelea,jaman kuna watu nashindwa kuwaelewa akili zao.Hiv ww unaekataa mageuzi kweli unajua miaka yako?kumbuka mamilion ya watanzania wanaounga mkono sera za chadema walishawahi kukipigia ccm kura na kukipenda ila kila kitu chategemea mageuzi ili kukua.Hata ww uliitaji mageuzi fulan kufanikisha mambo fulan.Mageuzi kwa lugha rahis ni mapinduzi.Tz inaitaji mageuzi au mapinduzi ili kukua na kuendelea lakini ilipo ss ni palipoanzia au mbaya zaidi.Nakushangaa sana we unaeponda mageuzi ukikumbatia sera zisizobadilika.LABDA ww ni mtoto wa mgamba mmoja unasubiri kuridhi ofisi uendeleze ugamba,au ni mgamba mwenyewe au labda upo ktk kijiji ambacho nyumba fullsuti juu bendera ya kijani, kwa ufupi ujajitambua.Venginevyo 2kupeleke mirembe hatukulaumu.
 
&lt;br /&gt; Mi nafurahishwa sana na wakazi wa Moshi, wakati wa kampeni mwaka jana, wakazi wengi walikuwa wanafurahia kuwa wapinzani kwani kwa kuwa upinzani wanajiona wao sio sehemu ya hii serikali mbovu <br />
&lt;br /&gt;
<br />
<br />
We ni mkazi wa kusinie,nakumbuka siku moja natoka dar kuelekekea mtwara kwa usafiri wa bas.Ni ndani ya mwaka huu januar,nilichoona barabara nzima ni aibu kumwambia huku ndiko waziri mkuu na rais wetu mstahafu awamu ya 3 wanakopita kwenda kwao.Unavyosema Moshi tofautisha sana na pande za hizo.ILIPO NGOME KUU YA CDM yaani kaskazin tofautisha sana kusin kimaendeleo kielimu,hivo sio swala la serikali tofauti ila ufahamu na uelewa tofauti ktk nchi moja.Huko kusini ndiko nilikoona fullsuti bendera ya kijani ikipepea juu yake.BILA SHAKA UNATOKA HUkO AU Hujijui upo 2.
 
Uko sahihi kabisa ulilokosea ni kusema WATANZANIA WA IGUNGA!
hili kwa WATANZANIA wote wkijivua MAKAKA,SIJUI MAKOTI,MAKIJANI AU MAGAMBA SIJUI NGOZI.
WATANZANIA tuitumie nafasi kikamilifu kwani hata hivyo hawana wasafi kama ni kweli wengi watawavua
tutegemee kuvuna mengi kama WATANZANIA kweli tutaamua kuikomboa nchi yetu.
hakuna mzungu au malaika atakaekuja kutukomboa ni sisi wenyewe tuamue na tujikomboe.
kazi kwetu WATANZAGIZA wantuona majinga sijui umeme hakuna na bado anaedai mtoto wa mkulima
katangaza Tanesco wanapandisha mda wowote gharama za umeme!!
walahi ni ajabu pia aibu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kutangaza labda uwe umefunika uso.
wanatupeleka wapi!? tafakari kwa kina chukua UAMUZI.
nimesema wa igunga kwa sababu ndo wao wapo kwenye mchakato ila itakapofika 2015 ni watanzania wote 4 ballot or bullet we shall over come this.
 
Wilaya ya Hai moshi mjini,vunjo Rombo hayo majimbo ya chadema hata miundombinu ipo smart ndugu zangu wa igunga wanashare maji na punda kwenye kisima ila ukiwaambia leteni mageuzi muonje mafanikio wao wanang'aa sharubu!
 
Watanzania wenzetu wa Igunga Tabora kama kweli mnayo akili huu ndo wakati wa kuondoa chama ambacho kimezidi kutupeleka gizani inabidi muonyeshe kweli mabadiliko yanawezekana huu ndo wakati hakuna mwingine jaribu kufikiri tabu unazopata kwanzia shida ya maji, umeme, mafuta na sasa tunaelekea kwenye sukari na mengi ambayo hayakustaili tuyapate kwa utajiri tulionao sasa wakati wa mabadiliko ndo huu!

Akili tunayo na ndio maana tutachagua CCM,wewe endelea kuandamana na wanafiki wa posho CDM.
OTIS.
 
Akili tunayo na ndio maana tutachagua CCM,wewe endelea kuandamana na wanafiki wa posho CDM.
OTIS.

ukichagua chama ambacho kina2rudisha nyuma badala ya kwenda mbele ww kwl ninamashaka na ww! Embu angalia 2lipotoka na hapa 2lipo c bora 2lipotoka. Tym 4 change itz now wew kama mbishi! Endelea kubisha. Chama kimemtawala babu hadi mjukuu na bora wakati wa babu kuliko wa mjukuu wakati wa mjukuu umekuwa mgumu kupita kiasi sisi CDM hatutaki wajukuu zetu waje waishi maisha magumu kisa si tulishidwa kufanya mabadiliko!
 
Pamoja na "ujinga" tulionao watanzania hatuhitaji kuelezwa matatizo yanayotukabili Igunga nadhani nao wanayaona haya wafanye kweli 2/10/2011 wawape haki watanzania wengi wenye hamu ya kuona mabadiliko kwenye siasa zetu na ccm wataanza kuzoea kushindwa!
 
Back
Top Bottom