Yuri G
Member
- Aug 7, 2011
- 87
- 14
Watanzania wenzetu wa Igunga Tabora kama kweli mnayo akili huu ndo wakati wa kuondoa chama ambacho kimezidi kutupeleka gizani inabidi muonyeshe kweli mabadiliko yanawezekana huu ndo wakati hakuna mwingine jaribu kufikiri tabu unazopata kwanzia shida ya maji, umeme, mafuta na sasa tunaelekea kwenye sukari na mengi ambayo hayakustaili tuyapate kwa utajiri tulionao sasa wakati wa mabadiliko ndo huu!