Watanzania wa Dar! Andaeni mabango...

Watanzania wa Dar! Andaeni mabango...

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,239
Reaction score
17,677
Kuna sababu ya kutumia ujio wa raisi wa marekani kufikisha ujumbe kwa yale yanayotusibu kwa jumuiya za kimataifa!!

Tusikae kimya..

Tuiseme demokrasia yetu,
Andikeni pia kuhusu ufisadi na unepotism unaoendelea hapa kwetu..

Let the world see..

Msiache kuaandaa mabango na ya bebe jumbe zenye maana..

Wana jf tuwekeni maneno hapa kuwasapot watu wa dar..na wale wa maeneo ya jirani!!

..andika ujumbe ambao ungependa usomeke kwenye mabango..
Watanzania waishio dar na maeneo ya jirani wataona na kuyaweka..
 
zawadi.jpeg
Tushaanza kuyaandaa ila tuko mafichoni si unajua kauli ya Pinda.
 
Katiba ya Tanzania unaruhusu unachosema, lakini Pinda amesema "wapigeni" Policcm watakupiga.
 
Kuna sababu ya kutumia ujio wa raisi wa marekani kufikisha ujumbe kwa yale yanayotusibu kwa jumuiya za kimataifa!!

Tusikae kimya..

Tuiseme demokrasia yetu,
Andikeni pia kuhusu ufisadi na unepotism unaoendelea hapa kwetu..

Let the world see..

Msiache kuaandaa mabango na ya bebe jumbe zenye maana..

Wana jf tuwekeni maneno hapa kuwasapot watu wa dar..na wale wa maeneo ya jirani!!

..andika ujumbe ambao ungependa usomeke kwenye mabango..
Watanzania waishio dar na maeneo ya jirani wataona na kuyaweka..
hatutaki ushoga
 
Ukienda msibani aliyefiwa utamjua kwani atakuwa amevaa tofauti na wenzake.
 
hawataweza kuwapiga mkifanya kwa amani..na kwa wakati muafaka!!
FBI watatenga eneo la protestors, Ulinzi utaimalishwa kuwadhibiti kama wakivuruga utaratibu. Policcm hawalijui hilo, wanachofanya ni kuficha ukweli, Kuwakamata watu wenye mabango ndio kutasababisha fujo. By the way why did you exclude yourself?
 
zawadi.jpeg
Lazima Obama alisome ili tutaliweka kiintelejesia PALE AIR PORT.
 
kupigwa hamtapigwa ila m'make sure mnafikisha ujumbe kwa wakati muafaka

yeah! kikubwa ni timing tu..Kwanza nasikia askari wa tz hawatahusika sana na ulinzi!!
 
Back
Top Bottom