Watanzania Uturuki

Watanzania Uturuki

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,113
Reaction score
34,953
267301_109042752528691_5524984_n.jpg


mazıshı yaMTanzania moja anayeitwa kwa jina " challe" alıyefıa jela.. Mungu amlaze pema peponi ameen. chanzo:https://www.facebook.com/photo.php?fbid=109042752528691&set=a.109029625863337.10458.100002689018421&type=1&theater
 
hawa ndi baadhi waombolezaji wakiwa ndani ya kanisa mjini istanbul nchini Uturuki.....................

281816_109042855862014_6428167_n.jpg
 
223706_109044322528534_4487784_n.jpg


283121_109044422528524_7499647_n.jpg


262571_109044539195179_4925322_n.jpg


wengi wao humu ndani ya kanisa waliohudhuria Mazishi ni waislam na Wakristo wapo wachache tu wote hawa ni marafiki wa Marehemu chale. Wa Tanzania ndugu zangu tuige mfano huu huko kwetu sio kuleta chuki katka mambo ya Dini jamani Wakristo na waislam wakiwa nje wanakuwa ni kitu kimoja WaTanzania wanaacha mambo ya dini wanaangalia udugu wao aliuunganisha Baba wa Taifa Mwalimu nyerere Alisema WaTanzania wote ni ndugu.
 
285071_109045112528455_1259035_n.jpg

198656_109045175861782_6868523_n.jpg


Hawa akina Dada wa kiislam walio hudhuria mazishi yaMr Chale aliyefia jela mjini istanbul Turkey.
 
224501_109045459195087_867292_n.jpg

kaka hapo anasinzia kwa uzee jamani rudini nyumbani ehhhhhhhhhhhhh


284561_109045565861743_7776732_n.jpg


Father akimuombea Marehemu chale ndani ya kanisa kabla ya kuzikwa Marehemu chale.
 
Wakina dada wa Kiislam au wa Kitanzania?
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya Ndio mkuu wakina dada wa kiislam wa ki Tanzania wahudhuria kwenye Mazishi ya chale Kanisani. huku Nchi za nje hakuna udini watu wanaishi kama ndugu hakuna ukabila wala Udini akifa mtu watu wanakuwa kitu kimoja wanashirikiana watu wote wa dini zote iwe Kiislam au kikristo udini huko kwenu Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
R.I.P challe, ni faraja kwamba amepata baraka zote za mazishi si kama yule aliefukiwa huko kwengineko....
 
Back
Top Bottom