Watanzania Uturuki

Watanzania Uturuki

284306_109046425861657_4381795_n.jpg


184085_109046509194982_128712_n.jpg
 
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya Ndio mkuu wakina dada wa kiislam wa ki Tanzania wahudhuria kwenye Mazishi ya chale Kanisani. huku Nchi za nje hakuna udini watu wanaishi kama ndugu hakuna ukabila wala Udini akifa mtu watu wanakuwa kitu kimoja wanashirikiana watu wote wa dini zote iwe Kiislam au kikristo udini huko kwenu Tanzania.

Lakini hata huku Tanzania mbona hakuna ubaguzi wakati wa misiba, arusi na sherehe nyenginezo watu wote wanakua
kitu kimoja kwa sababu si rahisi utokee msiba wa muislam asipatikane ndugu mkristo na vinginevyo, pia majirani hushiriki
vitendo vyote, hakuna tatizo la udini wala nini, njaa tu ndio tatizo letu watanzania kwa sasa!!!
 
Huyo kafa kwa mda wake wa kuishi kumalizika duniani, kama jela ni tatizo basi segerea asingeishi mtu hata kwa nusu saa!!
 
Huyo kafa kwa mda wake wa kuishi kumalizika duniani, kama jela ni tatizo basi segerea asingeishi mtu hata kwa nusu saa!!
mkuu mathcom marehemu alikuwa ni mgonjwa mteja sasa alipokwenda huko jela kakosa unga wa kuvuta sasa si unajuwa ukiacha unga kuvuta maradhi lazima yajitokeze ndipo maradhi yalipo jitokeza na ndipo alkipofariki sio sasa ya jela hapana unga bwana alikuwa mteja marehemu.
 
Last edited by a moderator:
Du! Eee bwana poleni sana. Mungu amrehemu marehemu nae na familia yake. Nimehuzunika sana kwa marehemu kuzikwa ughaibuni, lakini aaah ndio maisha. Rizki hutafutwa popote dunia hii. Ahsanteni sana wabongo na friends of Tanzania hapo ubatani/Taksim/Galatasaray/Aksarai kwa kuweza kumsitiri na kumzika mwenzenu kwa taratibu na heshima zote za dini yake. Mungu awazidieshie upendo huo a mzidi kufanikiwa katika mitkasi na mihangaiko ya life. RIP Charles
 
Back
Top Bottom