Watanzania tuwe na utamaduni wa kutembea haraka ,Mimi nadhani itaongeza uchapakazi

Wewe unaona mbali sana! Yote uliyisema naunga mkono 100%.
Hata utembeaji sasa ulivyo wa hovyo kwa hawa watz ni noma.
 
Ukweli mtupu
 
Hii tabia na ile ya kusimama kumsalimia mtu njian kisa unamfaham vinanikera sana kwa kweli, nasema kutoka moyoni, mimi hata naenda kushiriki mkate wa bwana kanisan nakua wa kwanza na nikfka pale anajivuta vuta niokote mwenyewe nile nisepe. Nachukia watu slow sana kwa kweli nina visa ving vya kukosana na watu waliotaratbu siwezag kuvumilia kbsa.
 
Hakika umenena mkuu. Kuna watu wapuuzi sana utakuta limeziba njia linaenda taratibu kama konokono. Hata baadhi ya waendesha magari barabarani
 
sio..ukae..kulia,mkuu..kwa..barabara..zetu..za..bongo..ili,uone..gari..inapokuja,mbele..yako?
 
wanapiga selfie tuu
Wananikera sana,pita pale samora karibia na jmall yani watu utasema pale wamefika mi huwa nawasukuma..sometimes unakuta watu wapo katikati ya njia wanapiga story asubuhi na mapema hawana habari!!
 
kweli mwendo can tell the whole story ya mtu fulani,kutembea taratibu ni dalili kubwa ya kukata tamaa ,slow people,slowest nation
 
Yaan makonda anipangie mda WA kuondok bar na wew pia unipangie mwendo kwel?
 
Hii sifa ya kutembea haraka,wakati fulani wanayo hata vibaka. Siyo determinant ya uchapakazi.
 
Nimecheka kwa sauti mpk kila mtu ananitizama hv natembea tembea tu mtaani huku nikisoma huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…