donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 775
- Thread starter
- #41
Kwa baadhi wa waislam na mataifa ya kiislam wao kila kitu ni kuilaumu U. S. A
Mandela na Nyerere hawakuwa waislamu, USA rais akiwa Clinton alikataa kupeleka majeshi kulinda amani ili wahutu na watusi( wengi wao sana wakati huo ni wakristo) baadae wanajifanya wanajuta.
Sudan siku nyingi walikuwa wakiipigia hesabu kwa sababu ya mafuta. Nakumbuka rais mstaafu mh benjamin mkapa alikuwa katika usuluhishi akasema haifai kuigawa ile nchi, lakini jamaa wameforce wameishaigawa na kinatakochofata tusubiri "ITV".
Nigeria pia ina mafuta what a COINCIDENCE kuna BOKO HARAM.
Na sio marekani peke yake kuna majini mengine ya Ulaya kwao kwa mataifa machanga hakuna mutual benefits kwenye chochote zaidi ya unyonyaji tofauti na nchi kama China hawa ni watu wabaya sana lakini kwa bahati mbaya kila ukijitahidi kueleza ubaya wao wengine hawaoni
Theoretically speaking Uislamu usingekuwepo Ukristo ndo ungehusishwa zaidi na ugaidi kwa maana mafundisho yanakaribia kufanana eg kupinga pombe,kamari, wizi, uzinzi na hawa hivi ni katika vitu vinavyowanufaisha ina maana kama wangetokea viongozi wakristo na waumini kupinga wangeitwa magaidi na kuchochea uongo dhidi yao
USA wanachochea uchafu na dhuluma kwenye dunia sasa Kuforce mpaka ushoga baadhi ya makanisa yakakubali huko kwao bado tu wewe hata ukiwa mktisto wa huku africa huwezi kuona ushenzi wao,
hongera kwa makanisa ya africa kupinga uchafu huo.