Watanzania tusiwe kama nyumbu kwa CHADEMA

Watanzania tusiwe kama nyumbu kwa CHADEMA

Lema amekuja jana kwenye chama hivyo yeye hana uchungu kama wakina Zitto hivyo hata hajui katiba ya chama huyo hata bungeni tazama michango yake sio sawa na Zitto
 
Watu kama nyie ndo mnakifanya chama chetu kihusishwe na udini!

Hivi kwanini mnaziogopa dini kiasi hiki? Kila mtu ana uhuru wa kukibariki kitu anachokipenda sawa na imani yake, acheni kuyumbishwa kama bendera
 
Lema amekuja jana kwenye chama hivyo yeye hana uchungu kama wakina Zitto hivyo hata hajui katiba ya chama huyo hata bungeni tazama michango yake sio sawa na Zitto

Nyumbu wapo wengi sana CDM wao ni watu wa Ndio mzee huu ukabila wa akina Lema, Mbowe ,kom , Mnyika , Mdee, kileo na wengineo wengi tu wachaga waliowafuata wachaga wenzao Kama nyumbu unatisha Maana unakigharimu chama Kama Nyumbu wanavyoliwa na Mamba sasa chama kina makundi Kundi kubwa ni lile la Mwenye chama yaani Mtei kundi likiongozwa na Mbowe limesheheni kanda ya kasikazini hadi singida huku viti maalum Nao wakiliunga Mkono japo wachache wapo humo kwa Shingo upande wengine ni mwendo wa Nyumbu mbele Simba wao Mbowe akisaidiwa na Msaidizi wake Deus malya a.k.a Mali ya Mungu . Nyumbu wengi wapo huko Mashinani na matawini bapo pesa hazifiki lakini wao wamekomaa tu kumsifia Mbowe hata Kama kumaliza pesa Yao makao makuu kwa matumizi ya kujilipa madeni Feki yaani Mbowe anakimbambikia Chama mademi feki na kujilipa pesa za Ruzuku kisha na yeye kuwakopesha cc wake Kama njia ya kuwathibiti amewaziba Mdomo kwa pesa zake Hakuna wa kumpinga Mbowe kwani ukithubutu unavuliwa uanacha haraka sana hivyo Nyumbu wapo wengi sana wengi na hawajui hatma Yao
 
unachekesha wanachama wa chadema unasema ni nyumbu,kwanini usiseme wananchama wa maccm ndo nyumbu 52yrs unakumbatia umaskini ufisadi ,mauhaji elimu duni afya duni,nk hawa ndo nyumbu na manguruwe sio watu wa cdm ambao ata miaka 10 hawana ndani ya chama .kitu ambacho hukijui cdm wana mungu wa eliya, ie mungu wa Ibrahim,yakob,isaack,mungu wa Israel.

ccm mna mungu wa baali,mungu jike,bar yesu,kila siraha kila ulimi utakaonyanyuka juu ya cdm mtakutata na mungu mwenyezi jina lake yesu wa Nazareth,tuinganganie ccm kwa lipi after all long 50yrs? devol

waulize nyumbu wa zambia walipata nini na chiluba (ambaye alionekana mkombozi kweli kweli) waulize wale wa senegal kumpa Babu Wade mwaka 2000 walipata nini zaidi ya ufisadi, udikteta na kutaka kufa kwenye kiti kwa kubadilisha katiba na kujaribu kurithisha wanae...uliza Wakenya kwa nini walitaka kumtoa Kibaki 2007 miaka mi4 tu baada ya kuing'oa KANU kwa jasho na damu, Naweza kumuweka na Morsi na wanamageuzi wengine ambao Afrika haijwahi kunufaika nao zaidi ya kuongeza kero na kujaribu kuwa madikteta na wezi wabaya zaidi kuliko hata wale waliowatoa....

kama wewe siyo nyumbu una maslahi binafsi kwenye CDM.

CCM bado haijapata mbadala wake na upinzani wa kweli utatoka humo humo CCM siyo kwingineko
 
Najua unatafuta bwana, nenda facebook sio huku JF. wewe ndio linyumbu kabisa na akili ndogo! pambaf!
 
Nakumbuka Maremu Babu yangu alishawahi kuniambia kua - Ukiona kitu kinaongelewa sana tena Sana basi ujue kinakubalika!
Hakuwa na busara,mpuuze utaharibikiwa!i.e ufisadi unaongelewa sana tena sana je unakubalika?achakuwa nyumbu kama ulivyoshauriwa!
 
Fikra huru kama hizi wahusika hawatazipa nafasi kujiuliza. Kwa nini akawa na nguvu ya kuandika haya, hoja yake iko wapi? Kwa nini leo? Usingekuwa uvunjifu wa katiba ya sasa ya mwaka 1977 kuingilia uhuru wa Mwigamba na kunyabg'anya mtu kifaa chake na kufukua kuona privacy zake ... ambayo yaweza kuwa na mambo yake yakifamilia aliyoweka kwenye laptop computer yake je yangetokea yakiyotokea? Kitachatokea itakadiliwa ki-nyumbu nyumbu!
 
:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
Umeendika vizuri sana watanzania wemegeuzwa sana nyumbu!
Hebu angalia viongozi waliopewa dhamana ya nchi wanaenda kuingia mikataba mibovu kama ya Richmond, IPTL, Dowans na n.k juu ya TANESCO,
Matokeao yake TANESCO inajiendesha kwa hasara kubwa, sasa wwameamua kupandisha bei ya umeme ambaro kabla 10,000/= ulikuwa unapata unit 37 sasa unapata unit 8 tu! wanaishia kulalamika tu mtaani bila kuchukua hatua yoyote, kipindi cha uchaguzi kikifika wanaletewa kofia na fulana wanachagua tena chama kilekile,viongozi walwale waliowafanya wapate hasara kwa mikataba mibovu.
Hiyo ni sehemu chache tu ya matatizo!
Nikirudi kwenye article yako ni nani hasa anayewafanya WaTZ kama nyumbu?
CDM au CCM?
For me CCM inafanya kazi kwa mazoea sio kufuata profesional!
Jiulize wewe kwanza na utafakari, kodi yako unailipa serikali ya CCM au CDM?
Nani anatakiwa kuleta maisha bora kwa kila MTZ CDM au CCM ilioko madarakani?
Bila shaka jibu unalo mwenyewe kichwani mwako!
 
Message ndefuuu, nikajua umeandika mambo ya msingi kwa ukombozi wa taifa, kumbe unakuja kukutetea wasaliti! Hao kina Zitto na Mwigamba wanavuna walicho kipanda, acha dhambi ya usaliti iwatafune. Kwanza unapswa kuwaomba msamaha watanzani kwa kuwatukana, huwezi kuwaambia watanzania washabikia Chadema bila kujijua wanafanya nini, yaani unawafananisha watanzania wa sasa na Nyumbu! Kijana mbona umekosa adabu kiasi hicho? Hivi, unafahamu nini maana ya ugaidi, au unachukulia poa tu, ukiitwa mahakamani ukathibitishe hayo unayosema ni ugaidi utaenda, kuwa na busara, ach kuwatisha ktika kusaka mabadiliko, komaa kiakili, njaa zitakuharibia hizo.
 
Watanzania wameshaikataa ccm sasa hivi vimakala uchwara mnavyojitahidi kuandika haviwezi kuwanusuru kamwe.
Kama ni nyumbu basi watanzania wamekuwa nyumbu kwa miaka zaidi ya 52 tangu tupoate uhuru kwakuwa miaka yote tumekuwa chini ya utawala wa TANU/ccm lakini hatujayaona hayo mabadiliko unayotaka kuyaaminisha.

Tunashuhudia tu uporaji wa rasilimali za nchi na kuongezeka kwa kasi kwa umasikini miongoni mwa watanzania.

Inyeshe mvua au liwake jua ccm haikubaliki na watanzania wameshatambua kuwa CHADEMA ndio chama pekee chenye dhamira ya kweli ya kuwaletea mabadiliko ya kweli na maendeleo ya kweli.
 
Huyu Bwna amebwabwaja sana lakini sielewi nia yake ni nini. Je, anataka wote tuendelee kuwa nyumbu wa CCM au nia ni kumtetea Zito? Anamtaja Zito kama mzalendo kwa kuacha posho ya TZS 70,000 kwa siku huku akila rushwa toka CCM ya zaidi ya TZS 2 bilioni!

Huyu naona ni kati ya wanaohitaji msaada lakini mwenyewe anadhani anaweza kutoa msaada. Kuna tuhuma lukuki dhidi ya Zito kupokea hela za hongo ambazo vithibitisho vingi vilitolewa kwenye mitandao, ambapo hata yeye mwenyewe hajatoa utetezi mpaka leo, halafu anatokea kibaraka mwenye kujifanya ana fikra chanya.

Nakumbuka Maremu Babu yangu alishawahi kuniambia kua - Ukiona kitu kinaongelewa sana tena Sana basi ujue kinakubalika!
 
:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
Umeendika vizuri sana watanzania wemegeuzwa sana nyumbu!
Hebu angalia viongozi waliopewa dhamana ya nchi wanaenda kuingia mikataba mibovu kama ya Richmond, IPTL, Dowans na n.k juu ya TANESCO,
Matokeao yake TANESCO inajiendesha kwa hasara kubwa, sasa wwameamua kupandisha bei ya umeme ambaro kabla 10,000/= ulikuwa unapata unit 37 sasa unapata unit 8 tu! wanaishia kulalamika tu mtaani bila kuchukua hatua yoyote, kipindi cha uchaguzi kikifika wanaletewa kofia na fulana wanachagua tena chama kilekile,viongozi walwale waliowafanya wapate hasara kwa mikataba mibovu.
Hiyo ni sehemu chache tu ya matatizo!
Nikirudi kwenye article yako ni nani hasa anayewafanya WaTZ kama nyumbu?
CDM au CCM?
For me CCM inafanya kazi kwa mazoea sio kufuata profesional!
Jiulize wewe kwanza na utafakari, kodi yako unailipa serikali ya CCM au CDM?
Nani anatakiwa kuleta maisha bora kwa kila MTZ CDM au CCM ilioko madarakani?
Bila shaka jibu unalo mwenyewe kichwani mwako!
 
Si kila kitu kinafananishwa na jambo lingine na kusadifu taswira halisi!
Mbona hamshangai kitu cha kipekee kupata Uhuru kwa Tanganyika pasipo kumwaga damu tofauti na kwingineko Afrika?

Kama upekee huo ulitokea, basi tutaiweka CHADEMA na kufanikiwa!
 
BE unaweza ukawa una hoja nzuri tu ya kutupa Watanzania,lakini umekosea kuuweka UPINZANI na vita vya wenyewe kwa wenyewe.mara nyingi vyama tawala ndivyo vinavyoleta migogoro na kutoelewana sababu wana majeshi yote.

Inwezekana tukawa NYUMBU kama ulivyosema ikiwa tutaendelea kuwachagua viongozi wabovu na wenye ulafi na mali zaumma.
 
Mkuu British economist kwanza hongera kwa ujumbe maridhawa Inavyoonekana watanzania wengi wamekata tamaa kwa kiasi kikubwa sana CCM imechoka na imewachosha watanzania tatizo kubwa ninaloliona hapa ni kwamba hakuna chama mbadala ambacho kitaweza kumsaidia Mtanzania vilivyopo naweza kusema ni kama matawi tu ya CCM na kwa sababu watanzania wameichoka CCM na hawaitaki tena wameamua sasa liwalo na liwe haijalishi wanayetaka kumkabidhi nchi ni wa aina ila tu mhimu kwao ni kuiondoa CCM HATARI SANA HII
 
Last edited by a moderator:

again operation pamoja...........kweli nimneamini watanzania wamekua nyumbu ............eti M4C
 
Back
Top Bottom