Watanzania tusiwe kama nyumbu kwa CHADEMA

Watanzania tusiwe kama nyumbu kwa CHADEMA

Matunda yenyewe ni Uzinzi na Vurugu.

Labda kwenye moyo wa Wazinzi like Mwenyekiti na Katibu wataalam wa kuvunja ndoa na Kula bata na wapenzi wao nje ya nchi.

kama mwigulu na kapuya ze prooofesory
 
Too long to read & work done zero, huu si wakati wa kutuwekea picha za vita za Somalia, Liberia na mauaji ya kimbari ya Rwanda eti vinasababishwa na vyama vya upinzani, sepa na propoganda zako

usiwe una qoute basi mavitu marefu kama hayo.
 
Aisee' sidhani kama na ww hukugeuzwa nyumbu wakati unaandika haya' nikimnukuu mwalimu wangu ambaye na professor (yupo KIU)' anasema historia ya mabadiliko duniani haikuwahi kutazama athari hasi hata siku moja' na akakiri mnaweza fanya mabadiliko yakaja na msiyoyatarajia yaani athari hasi' akasema watu wakihitaji mabadiliko watayatafuta kwa njia yoyote na akamaliza akitusihi mabadiliko si jambo la kuliogopa hasa ya kisiasa kwa sababu huwa hayaoneshi athari chanya moja kwa moja, kwa hiyo wacha tu CCM iondoke
 
Kweli watanzania ni nyumbu kumruhusu Raisi wao na mkewe kuzurura mara 400 katika miaka minane tu fedha ngapi za nchi huyu raisi kanywa manake zaidi
 

Sababu yanayojitokeza kwenye chama hicho kikuu cha upinzani yanaonekana madogo kwa vile chama hicho hakijapewa ridhaa ya kuvisimamia vyombo vya dola, lakini pindi wananchi wakikipa ridhaa hiyo sitaona ajabu yakitokea hapa nchini kwetu kama yale ya Renamo kule Msumbiji, Unita kule Angola, M 23 kule Congo nakadhalika. Maana hayo yote ni matokeo ya uasi katika uendeshaji wa nchi, ambao tayari unajionyesha ndani ya Chadema.


Jamani naomba kuelimishwa may be my memory don't serve me well.

Hivi ni lini RENAMO Msumbuji, UNITA Angola na M23 DRC vilikuwa vyama tawala katika nchi hizo kama mwandishi anavyodai.

Spin Doctor wa CCM ni majanga. Hivi hizi propaganda za VITA mlizotumia kwenye uchaguzi wa 1995, bado mnafikiri zinaweza kufanya kazi tena 2015. Hata kama ni Spin doctor jaribu basi kwenda na wakati na pia kuandika uon.go angalau unaofanana fanana na ukweli.

Ni ushauri wa bure you may wish to take or leave it.

 
unachekesha wanachama wa chadema unasema ni nyumbu,kwanini usiseme wananchama wa maccm ndo nyumbu 52yrs unakumbatia umaskini ufisadi ,mauhaji elimu duni afya duni,nk hawa ndo nyumbu na manguruwe sio watu wa cdm ambao ata miaka 10 hawana ndani ya chama .kitu ambacho hukijui cdm wana mungu wa eliya, ie mungu wa Ibrahim,yakob,isaack,mungu wa Israel.

ccm mna mungu wa baali,mungu jike,bar yesu,kila siraha kila ulimi utakaonyanyuka juu ya cdm mtakutata na mungu mwenyezi jina lake yesu wa Nazareth,tuinganganie ccm kwa lipi after all long 50yrs? devol

Watu kama nyie ndo mnakifanya chama chetu kihusishwe na udini!
 
Napenda sana kuona waTZ wa kweli jinsi wanavoendelea kuisuport CDM, big up sana na magamba yana mwisho. Mpigania haki wa kweli hachoki. Mtoa mada angetumia muda huo kujadili inakotupeleka CCM. Ufisadi wao, Umeme wao, mauaji wao. CDM ni chama makini na viongozi wake siwezi kuwalinganisha na wa Magamba. Ndani ya CCM ni kusemea chama sio wananchi. Alisemaga Dr. Slaa kwamba ukiwa ndani ya CCM hata kama ni mtakatifu, huwezi kusalimika.
 
angalia usitumike kama ndom halafu ukatupwa chooni kisa book 7.
 
Matunda yenyewe ni Uzinzi na Vurugu.

Labda kwenye moyo wa Wazinzi like Mwenyekiti na Katibu wataalam wa kuvunja ndoa na Kula bata na wapenzi wao nje ya nchi.
JK kazaa na wanawake wangapi vile................... Naye ni Mzinzi tu.
 
British unakosea kuwaita nyumbu wasio na akili kuliko wote porini. Kila kiumbe kimeumbwa na akili sawa na kiumbe kingine ila wanatofautiana ujasiri tu, maana nyumbu hana namna nyingine ya kupoza njaa na kiu yake isipokuwa kwenda kutafuta maji mtoni hata kama umejaa mamba, sasa wewe ulitaka nyumbu wafanyeje, wafe wote kwa wakati mmoja kwa kiu au wafe wachache kwa kuliwa na mamba? hii inaonyesha kuwa nyumbu wanaakili kuliko wewe. Kama ni umbumbumbu wa kufikiria basi binadamu ndiye namba moja kuliko nyumbu maana pamoja na ajali za ndege, bodaboda, magari, moto, kuanguka kwenye minazi, kupata stroke, kuambukizwa HIV, kuangukiwa na majengo, n,k binadamu hajaacha kufanya vitendo vinavyosababisha ajali hizo. Pamoja na wanawake na wanaume binadamu hajaachana ushoga na usagaji. Hivi nani ana akili nyumbu au binadamu?

Mfano wako hauna mashikoe! Kama nyumbu wangekuwa wajinga hivyo basi kizazi chao kingekwishatoweka duniani, mbona wapo wengi kuliko wanyama wengine?
 
Back
Top Bottom