KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,186
Pamoja na kukandamizwa wanakofanyiwa mara kwa mara, ni dhahiri kwamba upinzani unaonyesha udhaifu sehemu mbalimbali. Hasa hilo la kufanya kazi na wananchi limewashinda sana.Kalamu1
Nimekuelewa Sana...
Pia inabidi jamii ielewe nadharia ya kisiasa ya mabadiliko.. yatagusa vipi jamii na sera mpya zitakazo leta mabadiliko na maendeleo..
Vyama vya upinzani wanatakiwa sio kukosoa hotuba au kupinga maamuzi wanapaswa kuiambia jamii Ni Nini wataleta baada ya kuchukua madaraka...