Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,547
- 41,059
Kwa kifupi kabisa ni kwamba, baada ya sauti nyingi kuipinga IGA, hakuna hata kimoja kilichorekebishwa. Kila kitu kimebakia vile vile, na kwa dharau kubwa Serikali imeenda kwenye hatua ya kusaini HGA, ambayo kwa kadiri ya content ya IGA, HGA ni siri na haijadiliwi na chombo chochote, ndiyo maana leo tumeshuhudia HGA ikisainiwa bila ya kujadiliwa.
HGA iliyosainiwa leo ambayo ni mtoto mmojawapo wa IGA, haina uwezo wa kubadilisha hata nukta moja ya IGA.
HGA iliyosainiwa leo ambayo ni mtoto mmojawapo wa IGA, haina uwezo wa kubadilisha hata nukta moja ya IGA.