DP World wamenifunza kitu kimoja kwamba nchi za Kijamaa ziko nyuma sana kwenye elimu ya mikataba ndio sababu tunashindwa kesi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,979
141,996
Wewe angalia kilichoendelea bungeni ambako kuna PhD za Sheria na Uchumi za kutosha wakati wanaojadili IGA

Halafu angalia ilivyokuwa jana pale Dodoma wakati wa kusaini HGA

Halafu waangalie DP World walivyorelax tokea IGA hadi HGA

Kisha muulize mwanasheria nguli kutoka Chama cha Kijamaa CCM Wakili msomi Komredi Pascal Mayalla, je IGA ni Makubaliano au Mkataba?

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
 
Ujamaa unadanganya jamii kwamba kila kitu kipo sawa kumbe ni njozi tu zinazoanzia kwa viongozi na kumalizikia kwa raia wengi.

Ujamaa unaleta uvivu wa kutafuta maarifa kwa sababu jamii inajaa watu wenye kuamini wanafahamu kila kitu wakati ukweli ni watupu sana wa kila mada inayowasilishwa mbele yao.

Masuala ya mkataba wa IGA na biashara nzima ya DP World umekuwa ni wasaa muafaka wa kuifahamu jamii ya wasomi tulionao namna wanavyoshindwa kuelewa masuala mengi ya kiuchumi na yale ya sheria za kimataifa.
 
Heshima kwako mkuu!
 
unachanganya mambo, siyo kwamba serikali hakuna wanasheria wenye uelewa wapo na wanajua kila kitu au vitu vingi tu kama wanasheria wengine duniani ila wana bosi pia, shida iko hapo, shida ya tanzagiza siyo ukosefu wa wataalamu, shida iko juu huko, mwanasheria mkuu ana bosi pia, kama raisi wa nchi anataka jambo lifanyike hakuna mtu anayeweza kuzuia …
 
unachanganya mambo, siyo kwamba serikali hakuna wanasheria wenye uelewa wapo na wanajua kila kitu au vitu vingi tu kama wanasheria wengine duniani ila wana bosi pia, shida iko hapo, shida ya tanzagiza siyo utaalamu bali ni
Wanaelekezwa kushindwa kesi, DP World yupo humo Rostam na JK unategemea serikali itashinda kesi?
 
Elimu ya darasani na Ile ya mtaani ni vitu tofauti kwa kiasi kikubwa.
Dunia inaendelezwa na elimu zote mbili, ya mtaani ikishika sehemu kubwa baada ya kuchachushwa na Ile ya darasani.
Ukitegemea elimu ya darasani (PhD) tu, utashindwa hata na VETA mwenye ya mtaani.
Wazungu na wachina wengi wanaotusumbua wana certificates tu.
 
Back
Top Bottom