De Fernandez
Member
- Oct 13, 2023
- 22
- 26
Sasa kizazi Cha laana Cha kina mond na shuleless unategemea wadiscuss nn Cha maana?Umesahau kingine tumebase kwenye usimba na uyanga kuliko kufocus kwenye vitu vya maana
Umesahau kingine tumebase kwenye usimba na uyanga kuliko kufocus kwenye vitu vya maana
Hii maji maji war ni kitu gani?
Sidhani kama ni sababu kuna nchi kibao za Asia tulikuwa hatujapishana sana ile now sisi na hizo nchi ni sawa na mbingu na mafuta.Assume tupo watu 60+ mil wote tuingie kwenye
- AI
- Remote work
- Freelancing
Nchi nyingi za Africa zimepata uhuru 1950 +, ukilinganisha na nchi ambazo zimepata uhuru 1776 au zijawahi kutawaliwa utaona tupo nyuma sana.
Kutokana na Mazingira yetu.. ambayo bado tunapambana na
1. Malaria / kipindupindu
2. Njaa, ingawa kilimo ndio uti wa mgongo & wakulima ni wengi kuliko wafanyakazi
3. Ukosefu wa miundombinu ya Elimu
4. Rushwa & Kujilimbikizia mali
5. Upungufu wa nishati, Nishati ni anasa
Hadi hapo mazingira hayaruhusu
- Remote work
- Freelancing
I hope baada miaka 100 ijayo, tutakuwa unapo fikiri.
All in all, sehemu inaaza kuchangamka kwa majengo & biashara then mambo mengine ndio yanafuata
Asante
Sawa kabisa na cha ajabu ninachoona mim kila wakati serikali zetu zipo nyuma ya upeo wa wananchi. Utakuta wananchi wanaanzisha na kujenga miji kila mahali halafu ndio serikali inakuja baadaye kupanga miji!Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea kutokea Kijitonyama.
Binafsi ni miezi 6 tangu nifike Tabata, route zangu zilikuwa hazinipeleki kule.
Ila kila tukikunja kona, ninashangaa jinsi mji ilivyobadilika. It’s just not the same.
Maduka mengi yamevunjwa na kuwekwa kisasa, liquor stores kibao, pamechagamka. People don’t sleep.
This is only in 6 months.
Kuna rate of change watu wengi tunashindwa kuukubali kwasababu tunapenda ile comfort tunaopata vitu vikikaa the same.
Ila the world does not care about your comfort, the world will change with or without you.
Na ndio maana kwenye mitaala yetu, tukiendelea kufundisha na kutoa mtihani kwenye vitu kama maji maji war na kuukwepa ukweli kwamba
-AI
-remote work
-freelancing n.k
Zitakuja kuchukua kazi za anayesoma kuhusu maji maji war, we have a big problem.
The world will fail to teach you important things, ila ni muhimu uwe na flexibility kujifunza on your own, na pakuanzia at least jifunze kuhusu:
-Discipline (Both Financial and Self Discipline)
-Afya njema
-Kujiamini
-Philosophy zako
-Integrity / Uaminifu
- Work Ethic
-Spiritual Guidance
Fix whatever is not yet completely broken in your life, before it becomes an uncurable disease.
- Business Principles
- Flexibility
~KAGA
Ubarikiwe sana uzi mzuri sana🙏Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea kutokea Kijitonyama.

Mkuu hii majimaji war ni vita iliyopiganwa kati ya muunganiko wa makabila ya kusini mashariki mwa tanganyika wakiongozwa na Chifu Kinjekitile, dhidi ya mkoloni, (kwa wakati ule tulikua tunatawaliwa na Mjerumani).Hii maji maji war ni kitu gani?
Viongozi Serikalini wanafurahi sana tunavyojadili Simba na Yanga, Wema na Wozu, Kajala na Masanja. Hawatamani kuona tunajadili mambo ya Bima ya Afya, Mafao ya Wenza wa Viongozi na Ripoti ya CAG n.k.Umesahau kingine tumebase kwenye usimba na uyanga kuliko kufocus kwenye vitu vya maana
Mpuuzi wewe ndiyo maana hujui kwanini Israel na Palestina wanapigana.Yaani Wazee wetu walipigana kututoa kwenye Utumwa na Ukoloni unakuja hapa unaongea Ujinga.Yaani umesahau kuwa mpaka sasa bado tunanyonywa na Mbeberu uonaongea Ujinga hapa Waafrika mpaka sasa wanauzwa kama bidhaa masokoni bado unaongea ujinga hapa ,Wakoloni mpaka sasa bado wanagawa silaha kwa waasi ili tupigane wenyewe kwa wenyewe unaona haina mana kujua hayo . Mpuuzi wewe unajiona unazo akili kiss unaongea lugha ya kigeni kweli wewe ninmzigo kweli kweli.Yaani umesahau Watu wanakwenda Maka kwasababu ya historia kama hiyo unayoipuuza . Siku ukijua umetoka wapi unakwenda wapi ndiyo utajua nini Umuhimu wa Historia.Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea kutokea Kijitonyama.