Watanzania Tunasahau Mapema Sana!

Shimba ya Buyenze

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
181,120
1,094,979
f9ddae8be1f65cb54c3f312d1ecf2b6c.jpg
Na inavyoonekana yule dhaifu alikuwa amewachosha kweli kweli. Kipanya sijui kama bado anaikumbuka hii katuni
d7a0f7197f2b206647b653de14801d77.jpg
 
Watu mnakosea sana na sijui kwanini.

Kwani raisi asiyekuwa dikteka ni dhaifu????

Nchi haitaji wote hao , haitaji dikteta wala raisi dhaifu.

Bali Raisi imara anaye fata misingi ya haki sheria na utawala. Anayekubali ushauri pia kujua maana ya mgawanyo wa madaraka......
 
Ni Kweli mkuu hekima pia ni muhimu kuliko hao madikteta na dhaifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom