Hasa hasa hawa watekaji wanapandikiza chuki. Bahati mbaya si serikali wala polisi wanaoonekana kukerwa. Hata ccm haijakerwa na matukio haya.
Kujenga ni kazi ngumu sana ila kubomoa ni kazi rahisi sana. Kazi ngumu ya jasho na gharama kubwa iliyojengwa na Nyerere ya amani na mshikamano wa taifa inabomolewa na wajinga wachache wanaotumia usalama wa taifa bila kukemewa na yeyote.
Mapungufu ya serikali hii ya kidikteta yamezidi na hakuna hata dalili ya kuyarekebisha. Kwa mfano badala ya kujisahihisha katika utendaji, usimamizi na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kimaendeleo, wanatumia TISS kuwateka na kuwatesa wakosoaji. Huu ni upuuzi ambao watanzania hatuwezi kuuvumilia hata kidogo.
Chuki nyingine zinatengenezwa na serikali, mfano kwenye hili suala la vyeti.
Serikalini imefanya uhakiki wa vyeti ambapo waliogundulika Kuwa na vyeti vya kughushi wamefukuzwa kazi na wengine kupandishwa mahakamani.
Daudi bashite yeye pamoja na Utata uliodhahiri kuhusu vyeti vyake haufanyiwi kazi.
Unafikiri hao watumishi wengine waliofukuzwa kazi wanachuki kiasi dhidi ya serikali kutokana na hii double standard.
Chuki za wananchi dhidi ya Serikali inasababishwa na Serikali yenyewe
Huna ndugu alie potea wala huna ndugu alie umizwa, ingekuwa una jamaa katika wale maiti walio okotwa mtu ruvu usinge sema haya, bora ukae kimya maana sasa giza linazidiwa na nuru, maovu yote yataonekana tu, eti njia sahihi ni ipi hiyo? kuendelea kuambiwa subiri? mpaka lini wacha watu wapige mayowe bana.
Chuki zinanapandikizwa nayule asiyependa mbunge wa chama A kwenda kumjulia hali mbunge wa chama B pale Kisongo gerezani,wakati wanafanya kazi pamoja na ni wa Tanzania
Mayowe ya kisomi yanpigwaje? mtu mwenye maumivu awe msomi awe asie soma kuna tofauti ya kuonesha maumivu? Mayowe ya kisomi yatapigwa na mnafiki asie na maumivu...acha kujidanganya usomi hauzuii hisia.piga mayowe ya kisomi mtu aone sio mayowe ya mtu asieenda shule, yenye chuki ndani yake
Naelewa mkuu.....kweli ndugu, ila fatilia vizuri kuna kitu pale.
Noted..... Anafanya kazi ya dodoki Pengine
Mmh hayasio dodoki kaka, watu tunapotosha wasiojua. tunawaweka njia panda walio kijijini.
Unamchukia sababu alianzisha vita ya dawa za kulevya? Km ni hivyo hongera teja! Au jamia mexco.Bashite peke yake amesababisha chuki kwa 60% na chuki zingine zimetokana na Udikteta
Kwa sasa vyeti feki vya Bashite ni saa 24 mpaka Ukweli upatikanesio kila mada unaangukia kwenye vyeti feki ndugu.
ww ni mshamba sana upo msitu gani? Vita ya dawa za kulevya alianzisha makonda Bashite? Taasisi ya kuzuia Dawa za kulevya ipo siku nyingi wakati Bashite akiwa Mvuvi na ww ukiwinda sungura kolomije, hakuna cha vita wala nini bali kuna Blackmail ili ww na boss wako Bashite muwachukulie magari, mali na unga kwa watuhumiwa na sasa mmeumbuka kila kitu kipo wazi wale wote mliowabambikia kesi wamekomaa chupi zinawabana mpaka mnakonda viuno na wowo la Bashite limeongezeka.Unamchukia sababu alianzisha vita ya dawa za kulevya? Km ni hivyo hongera teja! Au jamia mexco.
Bashite kwa sasa ndiyo muuzaji mkubwa wa Unga ana miliki Duka la jumla wateja toka South Africa, china, Brazil mpaka ulaya wanakuja kuchukua Unga kwake kwa kumtumia wakala wake le mutuz kumbuka kwamba kipindi ametangaza List alitumia ile fursa vizuri kwa kukamata Unga kimya kimya akauhifadhi uvunguni kwake, ameanza kuuza kidogo kidogo anapata pesa za kuwalipa nyie kikundi cha Le-mutuz ( kubwa jinga) kuja kumtetea JF na mitandaoni kwa ujumla,bashite naweza kumsemea kidogo sana, ni jembe sema aliteleza kidogo. na sababu kubwa yy kuteleza ni kuandamwa na jamaa wa madawa.
ww kula pesa za Bashite ulale hapo kwa Le mutuz mda si mrefu watakufukuza kwa kushindwa kumtetea wowo Bashite kwani hawajakutuma kuja kuandika neno mikelele wanataka uwatetee ikibidi useme Bashite ni malaika hana dhambi ili uendelee kulala hapo kwa Le mutuz kinyume na hapo watakufukuza leo leo hii.Huna hoja zaidi ya mikelele.
Kufoji cheti na jina sio kuteleza kidogo, kuvamia chombi cha habari sio kuteleza kidogo. Nilikuwa namsupport sana Bashite sema daaah sahivi naona I was wrongbashite naweza kumsemea kidogo sana, ni jembe sema aliteleza kidogo. na sababu kubwa yy kuteleza ni kuandamwa na jamaa wa madawa.
Ushahidi Upo shule aliyosoma Daudi bashite na kupata divisheni ziro huko Mwanza.una ushahidi wa vyeti feki, usifate wanasiasa...