Watanzania tunapandikizwa chuki

Kukiwa na tatizo suluhisho ni kunyamaza kimya au kulisema tatizo ili lipate ufumbuzi?
Hizo unazodai chuki zinazotengenezwa,root cause ni nini?
Serikali inasingiziwa?
Yanayosemwa ni udaku?
Kama yanayosemwa ni uongo basi serikali ikanushe na kama ni ukweli ijirekebishe pia.
 
mbona wakosoaji wapo wengi na hawajatekwa
 
Hasa hasa hawa watekaji wanapandikiza chuki. Bahati mbaya si serikali wala polisi wanaoonekana kukerwa. Hata ccm haijakerwa na matukio haya.
Kujenga ni kazi ngumu sana ila kubomoa ni kazi rahisi sana. Kazi ngumu ya jasho na gharama kubwa iliyojengwa na Nyerere ya amani na mshikamano wa taifa inabomolewa na wajinga wachache wanaotumia usalama wa taifa bila kukemewa na yeyote.
 
shida ni jinsi gani watu wanavyo aproach serikali
 
Chuki zipo ili kuwafanya wananchi waamini hana la maana atakaloweza kuwafanyia kwenye uongoz wake ili tuwachague wao uchaguzi ujao.
 
ww acha kuwa Mtetezi wa vyeti feki uone acheni kuonea watu muone kama chuki itaendelea, Chuki ya sasa ipo automatic kwa wananchi wala haihitaji hamasa toka kwa kikundi au watu wowote wale.

sio kila mada unaangukia kwenye vyeti feki ndugu.
 
Nilini mlilalamikia shughuli za maendeleo? Kila siku malalamiko yenu yamejaa uzembe na uvivu. Mara njaa, mara ukuta, kata funua, hela ya rambirambi, oooh bashite, gwajima, roma. Katika hayo ipi hoja yamaendeleo? Kwa utawala huu wa Magufuli mtakaa tu! Wananchi wazalendo wa nchi hii tupo macho hakuna mtakaye myumbisha kwa hoja zenu mfu.
 
Chuki anapandikiza nani? Ni serikali inapoacha kufanya inavyotakiwa au ni watu wanaolalamika kwa kukosewa haki na upendeleo wa wazi?
 
ni kweli, sisi tunaofatilia maendeleo tunaona mwanga, lakini hawa wanaopenda kukosoa hawawezi kuona mafanikio. ni sawa na trafic akikagua gari hakosi kosa
 
Hawatafanikiwa
 
Serikali haiajiri,inakata 15% nje ya mkataba, hakuna fao la kujitoa, wenye vyeti feki hawashughulikiwi mi naona inajichonganisha yenyewe
Bashite peke yake amesababisha chuki kwa 60% na chuki zingine zimetokana na Udikteta
 
Serikali haiajiri,inakata 15% nje ya mkataba, hakuna fao la kujitoa, wenye vyeti feki hawashughulikiwi mi naona inajichonganisha yenyewe
Bashite peke yake amesababisha chuki kwa 60% na chuki zingine zimetokana na Udikteta
 
Chuki zipo ili kuwafanya wananchi waamini hana la maana atakaloweza kuwafanyia kwenye uongoz wake ili tuwachague wao uchaguzi ujao.

jaribu kuwa katikati utaona vizuri picha inavyoenda, ila ukiwa upande fulani ni ngumu.
 
ni kweli, sisi tunaofatilia maendeleo tunaona mwanga, lakini hawa wanaopenda kukosoa hawawezi kuona mafanikio. ni sawa na trafic akikagua gari hakosi kosa
Si kigezo cha kukumbatia vyati feki na Udikteta
 
Bashite peke yake amesababisha chuki kwa 60% na chuki zingine zimetokana na Udikteta

bashite naweza kumsemea kidogo sana, ni jembe sema aliteleza kidogo. na sababu kubwa yy kuteleza ni kuandamwa na jamaa wa madawa.
 
yaani ndio wamekutuma uje utuchimbe mkwaradhaif hivi ? poor you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…