Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,603
- 29,746
..wakisharudi unazo kazi za kuwapatia ili waendelee kusaka maisha??rudini home, mnafanya nini kwenye kinchi masikini huko,
ongea vitu vya akili wewe kalumekenge
..wakisharudi unazo kazi za kuwapatia ili waendelee kusaka maisha??rudini home, mnafanya nini kwenye kinchi masikini huko,
hii post yako inahusiana kuwapa relief watanzania wanaonyanyasika malawi?? gimme break bana! lolZaidi ya watu 5000 wamekusanyika na kupigwa picha wakiwa uchi in the name of art and diversity. Kweli dunia iko ukingoni..