Spark Gap
Member
- Jan 4, 2016
- 62
- 20
Salamu wakuu,
Naanzisha mada hii nkiwa na Huzuni kabisa Ndugu Watanzania tunahitaji kubadilika Haswaa katika matumizi ya vifaa vya kitechnolgy Leo hii vijana wakike na wakiume wako bize sana na mambo ya social network mambo ambayo yana madhara zaidi kwa vile hutumia makutano hayo kuchati mambo yasio na msingi.
Kama kweli tungekuwa makini basi wakati huu wa kila mtu kuwa na simu basi tungejifunza mengi sana kuna maarifa mengi mno Internet ila hatuna muda nayo zaidi ya chatting za ovyo tu.
Leo tunaona nchi za wenzetu walivyo na blogs za science na mashindano kibao ya kielimu lakini kwetu halipo hili kuanzia katika media mpaka social network ni mambo ya ovyo vijana wameharibikiwa.
Hivi kwa style Hii tunajenga Taifa gani ndugu zangu? Hivi tunataka kuwa waletewaji wa kila jambo au kitu?
Sipingani au kuzuia mambo ya Burudani ila yanazidi kiwango.

Last edited by a moderator: