WANAJAMVI, hamjambo? naomba huschangie pasipo kusema hali yako, leo nimesikitika sana na kujikuta jumapili yangu inakaribia kuisha vibaya, yan jamani mtanzania mwenzetu leo alikuwa anatoa ushuhuda jinsi alivyo kuwa SHOGA, pale kwa TB joshua, anaeleza kuwa kipindi kire alikuwa na miaka kumi aliitwa na mzee mmoja pale Arusha akampa chips, na vipipi, na vitu vingine vitamu baada ya hapo alimlazimisha na kumra LAINI kongwe nchini.
anasema tangu hapo kijana wa watu amekua akitoa laini kongwe yenye 4G MATATA, kama hana akili nzuri jaman ni aibu sana yani mzee wa amakmu anakula laini kongwe, kijana amesema tangiapo amekuwa akiliwa laini kongwe na viongozi mbalimbali, kama wabunge na mawaziri jamani mwenzenu imeniuma, inakuwa je watu tunakuwa wanya hivyo tunakula TIGO wakati k zimejaaa? vibandani buku jero sasahivi tangu mzee Magu hachukue nchi ebu tubadiulike.