Watanzania tumejaaliwa

Mtaani kwetu kilikuwa na kabinti, usubuhi kakitoka nyumbani kamevalia sketi ndefu na blausi isiyo onyesha maungo kakifika mjini kanavaa za mjini: siku ya siku kakakumbana na baba yake benki, jiulize kilitokea nini.................
 
Hiyo nguo ya juu ni chafu (majasho) au macho yangu?
 
Sasa hapa wa tz tumejaliwa nini??ulevi,kutembea nusu uchi,kutukia kalo laiti(mkorogo) au nini?sijaelewa
 
Hicho kitopu mbona kama kina ramani flani ivi..? Urembo sawa, usafi je?
 
Kajiremba siku nzima lakini mmmmmmhh:embarassed2::embarassed2::embarassed2:
Naona ka mzee anataka kuwa kijana
 
Biashara matangazo, mtaji utakuta ni dressing table ili tujichanganye tuchunwe! tehe tehe tehe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…