Watanzania tuliambiwa tuandamane tukakataa. Acheni tuendelee kudhalilishwa

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,061
2,000
Wote mmemsikia Ndugai alivyokuwa anaongea kama "Mungu". Hii yoye ni kwa sababu watawala wameshajiridhisha sisi watanzania hatuna cha kuwafanya...
Mkuu naona wewe ni msukuma unayejitambua kabisa siyo kama akina Paschal wameweka njaa mbele, kimsingi nchi yetu imeharibiwa sana na hawa watu wawili(Ndugai na Mwenyekiti wake)
 
Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,183
2,000
Wewe utakuwa mtu wa Tanga maana wao ndio takataka wa politics. Mawazo mfu kabisa kichwani mwako. As long as unakuka, basi hata wakikufanya lolote....... huna tatizo
Ndio mi nimtu wa Tanga tena Makorora, wewe mwenzangu unateseka ukiwa wapi?
Comment ya mtu aliyekosa akili. Hata akina Nyerere wangekuwa na fikra za kijinga kiasi hiki, leo tungekuwa bado koloni la Mwingereza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoloni mweusi mwenzako kumtoa ni ngumu kweli kweli.
Maana unaishi nae na anajua vichochoro vyote.
Km hujapenda kitu tafta pesa watoto wale. After so many years mambo yatabadilika automatically. Don't worry.
Wananchi wenyewe watakuja kusema baasi inatosha. Usijali
 
Msukuma Original

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
928
1,000
Ndio mi nimtu wa Tanga tena Makorora, wewe mwenzangu unateseka ukiwa wapi?
Mkoloni mweusi mwenzako kumtoa ni ngumu kweli kweli...
Mkuu nimekufuatilia comments zako na nimegundua tupo pamoja. Comment yako ya mwanzo inaonyesha kama vile unasupport kusiginwa kwa katiba yetu. Ifute hiyo comment maana wadau wanakuona kama vile unasupport huu ujinga wa hawa jamaa.
 
Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,183
2,000
Mkuu nimekufuatilia comments zako na nimegundua tupo pamoja. Comment yako ya mwanzo inaonyesha kama vile unasupport kusiginwa kwa katiba yetu. Ifute hiyo comment maana wadau wanakuona kama vile unasupport huu ujinga wa hawa jamaa.
Wachache sana najua wamenielewa. Kama wewe.
 
Meela

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,490
2,000
Anakula bata. Ila ana uchungu na nchi yake,ndo maana anaipigania tupate Uhuru toka mikononi mwa viongozi dhalimu kama kina ndu gay.
Ana uchungu na nchi yake ipi?? Yaani anasikitika makanikia kuzuiwa yasitoke nchinin kiasi akajitolea kuwatetea mahakamani bure ili wachukuwe makanikia bure halafu unasema ana uchungu na nchi yake? Kweli umeaminishwa vya kusadikika. Anapigania uhuru ili zile sheria za kutunyonya madini zirudishwe baada ya serikali dhalimu kuzibadilisha trusiendelee kunyonywa?
 
Tz mbongo

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
8,153
2,000
Watz huwezi kutupeleka kwenye maandamano yanayotawanywa kwa risasi za moto, inatakiwa kipatikane kikundi cha uasi/kigaidi cha kuwashughulikia watawala jeuri, na wote waliofanikisha ushindi wa LUSHINDO, Watanzania tuko tayari kukichangia hali na Mali, binafsi kila mwezi nitakuwa nachangia million moja!!
Ndio maana watu weupe na sie ngozi nyeusi ni tofauti,hebu tizama ulichokieleza kuwa ndio ufumbuzi wa tatizo.
 
madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
1,865
2,000
Wote mmemsikia Ndugai alivyokuwa anaongea kama "Mungu". Hii yoye ni kwa sababu watawala wameshajiridhisha sisi watanzania hatuna cha kuwafanya.

Tuliambiwa tudai haki yetu tukagoma. Na mimi nasema acheni tuendelee kuburuzwa maana tumezidi ukondoo.

Katiba iko wazi kuhusu ukomo wa ubunge pale anapokoma kuwa mwanachama wa chama kilichomsabibisha kupata ubunge. Ndungai hajali sheria na hakuna cha kumfanya.

Maskini Tanzania yangu.
Mkuu tuandamane mi na wewe Mana wengine hawataki
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,207
2,000
Mimi ni kwenye "bureau de change" mkuu.
Hakuna mfanyabiashara hata mmoja mwenye bureau aliochomoka salama serikali ilivyo wavamia na kuwa dhulumu.

Pole sana mkuu. Ila kama ni haki yako pesa zile basi mungu atakurudishia hela zako kwa njia nyingine tu. Amini.
 
trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,749
2,000
Hatujachoka, ama hayajatufika "hapa".. ikifikia stage hiyo, hakuna atakayekuhamasisha.. rejea Tunisia vuguvugu lao lilianzaje...
Wote mmemsikia Ndugai alivyokuwa anaongea kama "Mungu". Hii yoye ni kwa sababu watawala wameshajiridhisha sisi watanzania hatuna cha kuwafanya.

Tuliambiwa tudai haki yetu tukagoma. Na mimi nasema acheni tuendelee kuburuzwa maana tumezidi ukondoo.

Katiba iko wazi kuhusu ukomo wa ubunge pale anapokoma kuwa mwanachama wa chama kilichomsabibisha kupata ubunge. Ndungai hajali sheria na hakuna cha kumfanya.

Maskini Tanzania yangu.
 
Kilangila

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
1,801
2,000
Wachangiaji wamebainisha kuwa wako waliotafuta pesa lakini zikanyang'anywa bila uhalali. Yeye anasema tafuta pesa, hizo pesa tutafute jalalani? Kilangila.
 
CHIBURABANU

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
2,555
2,000
Ana uchungu na nchi yake ipi?? Yaani anasikitika makanikia kuzuiwa yasitoke nchinin kiasi akajitolea kuwatetea mahakamani bure ili wachukuwe makanikia bure halafu unasema ana uchungu na nchi yake? Kweli umeaminishwa vya kusadikika. Anapigania uhuru ili zile sheria za kutunyonya madini zirudishwe baada ya serikali dhalimu kuzibadilisha trusiendelee kunyonywa?
Watanzania wengi hawana exposure. So uende hapo nchi jirani uone utofauti kati ya tz na k.
Alafu mkuu dunia inaenda kwa kazi ya ajabu nyie ccm bado mnakumbatia analog.
 
We mchaga gani mangi.
 
Nakupa pole pole na pole nyingi mno. Ongelea tu unachoaminishwa na watu wanaokudharau wakiamini kila wanachokueleza lazima utakikubali kwa kuwa tayari wamekuaminisha wana akili kuliko wewe. Pole aisee.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom