Watanzania tuliambiwa tuandamane tukakataa. Acheni tuendelee kudhalilishwa

Nakupa pole pole na pole nyingi mno. Ongelea tu unachoaminishwa na watu wanaokudharau wakiamini kila wanachokueleza lazima utakikubali kwa kuwa tayari wamekuaminisha wana akili kuliko wewe. Pole aisee.
Sijaaminishwa MTU.najionea kwa macho mchuku Wa mangi.
 
Watz huwezi kutupeleka kwenye maandamano yanayotawanywa kwa risasi za moto, inatakiwa kipatikane kikundi cha uasi/kigaidi cha kuwashughulikia watawala jeuri, na wote waliofanikisha ushindi wa LUSHINDO, Watanzania tuko tayari kukichangia hali na Mali, binafsi kila mwezi nitakuwa nachangia million moja!!
Very good point
 
Wote mmemsikia Ndugai alivyokuwa anaongea kama "Mungu". Hii yoye ni kwa sababu watawala wameshajiridhisha sisi watanzania hatuna cha kuwafanya.

Tuliambiwa tudai haki yetu tukagoma. Na mimi nasema acheni tuendelee kuburuzwa maana tumezidi ukondoo.

Katiba iko wazi kuhusu ukomo wa ubunge pale anapokoma kuwa mwanachama wa chama kilichomsabibisha kupata ubunge. Ndungai hajali sheria na hakuna cha kumfanya.

Maskini Tanzania yangu.
Hili hadi litokee ni pale manyigu yakiumana.yaani polisi wachapane wenyewe kwa wenyewe au jw ligawanyike mara 2 kuwe na wanaomkubali mtu fulani na mambo anayofanya na kuwe na wanaompinga ambao wameshachoshwa na kinachoendelea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom