CONSISTENCY
Senior Member
- Feb 16, 2023
- 135
- 307
Mbona wanauza vya Tangayika tu ?Mada nzito kama hizi watu wanazipita tu kama hawazioni.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
huwa najiuliza, hivi mtu wa pwani au zanzibar, anaweza kuwa na uchungu na mbuga zetu kweli? yeye mwambie samaki wa baharini, atakuona wa maana, hayo mawanyama kwake hata hayaelewi,no wonder kuna mtu alipoingia tu kwenye kiti alisema tuanze kuchimba madini hadi kwenye mbuga za wanyama. hawana uchungu. its time to wake up kuitetea Tanganyika.Kuna mambo mengi ya hovyo yanaendelea nchini,
Bandari
Utalii
Madini
Mikopo ya kijinga
Ufisadi CAG report
Mfumuko wa bei n.k
Wanasiasa tumewapa dhamana kubwa ya kutuongoza ila nasikitika kusema wengi wa wanasiasa nchini Tanzania ni walafi, vibaraka na watumwa wa wageni.
Nasikitika kusema Raisi ana uwezo mdogo sana wa kuongoza hii nchi, amezungukwa na wahuni wenye lengo la kunyonya nchi kadiri iwezekanavyo.
Inawezekana Rais hapendi haya yanayoendelea ila hana namna ya kutatua sababu wenye nguvu ya kuamua urais wake ndio wanaofanya kila namna kuinyonya hii nchi.
Wito wangu kwa watanzania wote, naomba tujadili namna kuikomboa nchi bila kutegemea wanasiasa, hatma ya vizazi vyetu ipo mikononi mwetu wote.
Wanasiasa wa sasa hawaaminiki na hata bunge haliaminiki.
Hayawezi kupita, tuache ubinafsi tufikirie vizazi vijavyo tuamke tuwapambanie.Haya yote yatapita tu
Watu siku hizi wapo bize sana na mpira.. mara simba mara yanga,, sijui liverpool sijui man city... Na kuwa macomedian wa kwenye social media... Kujifunza uchawa, kujipendekeza KWa ajili ya teuzi (sio mtu kutaka uongozi Ili alete mabadiliko kwenye sehemu fulani ambayo haiji Sawa) ila tu kwenye maisha yake aseme naye alikuwa kiongozi.. na ndio maana wenye nia ovu wakafurahi wanaendelea kuchafua........ Huku wabongo wakiendelea kukaziana mafuvu kwenye uchawa na mipila wao wanaendelea na yao....Kuna mambo mengi ya hovyo yanaendelea nchini,
Bandari
Utalii
Madini
Mikopo ya kijinga
Ufisadi CAG report
Mfumuko wa bei n.k
Wanasiasa tumewapa dhamana kubwa ya kutuongoza ila nasikitika kusema wengi wa wanasiasa nchini Tanzania ni walafi, vibaraka na watumwa wa wageni.
Nasikitika kusema Raisi ana uwezo mdogo sana wa kuongoza hii nchi, amezungukwa na wahuni wenye lengo la kunyonya nchi kadiri iwezekanavyo.
Inawezekana Rais hapendi haya yanayoendelea ila hana namna ya kutatua sababu wenye nguvu ya kuamua urais wake ndio wanaofanya kila namna kuinyonya hii nchi.
Wito wangu kwa watanzania wote, naomba tujadili namna kuikomboa nchi bila kutegemea wanasiasa, hatma ya vizazi vyetu ipo mikononi mwetu wote.
Wanasiasa wa sasa hawaaminiki na hata bunge haliaminiki.
Inasikitisha sana, magufuli alisema kupingana na mafisadi ni vita kubwa, tunaanza kumuelewaHayawezi kupita, tuache ubinafsi tufikirie vizazi vijavyo tuamke tuwapambanie.
Hivi walopigania uhuru wangekua waoga waoga na kusema yatapita sisi saivi tungekua tunaishije!?
Ifike sehem tukatae huu ushenzi wa wachache wao watoto zao wanawakimbiza nnje na kurithishana vitengo, watoto wetu ndo watakaumia zaidi na huu upumbavu.
Tulia mkeka wa ma DAS na DED ndio huo,wacha waendelee kulamba asali na kuuza nchiHayawezi kupita, tuache ubinafsi tufikirie vizazi vijavyo tuamke tuwapambanie.
Hivi walopigania uhuru wangekua waoga waoga na kusema yatapita sisi saivi tungekua tunaishije!?
Ifike sehem tukatae huu ushenzi wa wachache wao watoto zao wanawakimbiza nnje na kurithishana vitengo, watoto wetu ndo watakaumia zaidi na huu upumbavu.
Haya mambo yanakera mnooo, nachukia kuzaliwa mtanzaniaTulia mkeka wa ma DAS na DED ndio huo,wacha waendelee kulamba asali na kuuza nchiView attachment 2650195
Kabisa mkuu....hilo 'dubwana' ndio adui wa nchi.CCM imejaa wahuni, wezi na walafi. CCM imeambukiza hii tabia mbaya kwa watanzania walio wengi, sasa hivi kila mtanzania anawaza kuliibia taifa, source ni CCM.
Hadi hapo hili dubwana litakapoondolewa, kukawekwa misingi mipya ya kuliongoza taifa, tukapanda mbegu mpya ya uzalendo, nadhani safari yetu ni ndefu sana.