Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Nimekuwa nafuatilia tabiri za huyu Maalim Hassan Hussein Yahaya anazozitoa Mara Kwa Mara. Tabiri zake sioni kuwa za kweli Na nimekuwa nazipinga sana. Kama kuna mtanzania mwenzangu ambaye ameziamini tabiri za huyu MKUU naomba aziweke hadharani. Binafsi naamini no ndoto za kawaida kama alivyoota Mh.Lema.