Watanzania tuitangulize physics mbele

Tunachowaombea Mungu ni msijidhuru kama ndugu yenu Peter maana huko nyuma ya key board mna mengi!
 
Where do we go from here?
Matatizo yetu ni elimu. Tazama topics zilizopo katika physics:

theoretical physics, particle physics, medical physics.thermodynamics ambayo ni muhimu katika viwanda.

Huu ndio mkakati wa CCM bila shaka. Ndio maana walimchagua Magufuli.
Andrew labda metaphysics, na aliyepo sio porofesa wa Fizikia bali ni wa Kemia, na anachofanya sasa ni kusafisha nchi kwa kutumia fractional distillation kwa kuichemsha kwa different boiling points kwa sababu kila element inayo latent heat yake ya vaporization, wataokofika mwisho ni pure elements!.

Paskali
 
Unaposoma medicine ni lazima uwe patient maanake utakuta neno moja lina herufi thelathini.
Hicho cha mtoto Kaka Andrew. Unasemaje kuhusu hili neno (jina la mtaa mmoja huko NZ):

Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu

Linahisiwa kuwa jina refu zaidi duniani with 85 letters. Ukitaka kujifunza lugha yao inabidi ujipange kwa urefu wa maneno maana yanakaribiana kwa urefu.

Ref: The World's Longest Place Name
 
duu leo tutaona mambo
sio mambo tu, serikali yetu sio sikivu kabisa halafu kila siku wanaagaika kutafuta njia mbdala wa foleni njia ni hiyo tu waingize huo mtaala shule za awali na vidudu
 
sio mambo tu, serikali yetu sio sikivu kabisa halafu kila siku wanaagaika kutafuta njia mbdala wa foleni njia ni hiyo tu waingize huo mtaala shule za awali na vidudu
hahahaaa, yaani kale katoto kangu ka chekechea.....duuuu..katachizika jamani
 
mi nadhani CCM inabidi kwenye elimu wafanye kitu, maana hata hizi Taasisi za teknolojia sidhani kama zinafundisha watu kuvumbua vitu vipya

duuu kama nimepotea vile.......nisaidieni
Wenyewe huwa wanajiteteaga "mafungu ya research" kutoka Serikalini hayatoshi!
 
Andrew labda metaphysics, na aliyepo sio porofesa wa Fizikia bali ni wa Kemia, na anachofanya sasa ni kusafisha nchi kwa kutumia fractional distillation kwa kuichemsha kwa different boiling points kwa sababu kila element inayo latent heat yake ya vaporization, wataokofika mwisho ni pure elements!.

Paskali

Hahaha , hao pure elements ndo watakaoivusha Tanzania :)
Hii kali ni ya kufungua mwaka kwanza naweza kusema ya kufungia kabisa kwani sidhani kama kutakuja kuwa na sentensi iliyonivutia kama hii!
 
Back
Top Bottom