Watanzania tuilinde nchi yetu

Watanzania tuilinde nchi yetu

wananchi wanakatishwa tamaa na vyombo vya usalama sababu ata wakitoa report. vyombo vya usalama vikiendelea kupokea rushwa bado ni kazi bure.

pia nina uhakika kagame awez kuishambulia tanzania. rwanda ni ndogo sana.pia msipende kukuza mambo vita ni gharama sana na inabomoa uchumi.

kuhusu uamiaji haramu auwezi kumalizika na utazidi kuongezeka. sababu wahamiaj wanaokuja uwa na sababu zao kama tatizo la ardhi kwao. umasikin uliokubuu. njaa. usalama mdogo. etc.

pia ili agizo la kikwete alikuja muda muafaka limekuja baada ya yeye kutofautiana na kagame.

matatizo ya uhamiaji harama yalikuwepo na yalisemwa sana na serikali aikuchukua. hatua zozote adi pale kikwete na kagame walivyotofautiana.

hivo kitendo iki wanyarwanda watachukulia kama ulipizaji kisasi. na kutajengeka chuki sana. sasa hiv kumeshaanza kujengeka chuki baina ya sisi watanzania na majirani mfano mzuri ni pitia comment za apa jf utaona.

viongozi wetu wasiwagawe raia. tuviache vyombo vya usalama vifanye kazi yao.
 
uko sahihi sana,wasomali wamezidi kumwagika hapa nchini,huu ni uzembe,hawa si watu wa kuentatein
 
tanzania imejaa watoto wengi wa haramu wa kinyaruanda ambao utawaona comment zao ni kumsifia huyu muuaji na anayetawala kwa mkono wa chuma. dunia nzima inapiga kelele na huyu shetani isipokuwa mashetani wenzie kama Museveni(Mwizi mwenzake) labda na Kenyatta. wewe mjinga mabomu ya Kagame yakirindima baba yako,mama yako na wewe hamko salama

Huna lolote kaa kimya.
 
Wewe bataka kagame awachape wa tz coz mnajifanya eti nyie ndio giant wa vita kisa mlipiga idd amin, ninawakikishia sasa hivi dunia iko kidigital, nakuapia tutawabuza mpaka na hicho kiges chenu mnachojiringia, ngoja tukae vizuri na malawi na wapinzani muone km ujasikia rwanda niangoza kwa kuuza ges nje na tnzanite,
Wa wapi wewe?
 
Tuilinde kwa manufaa ya nani? Kila kizuri viongozi wetu wanagawana wao na ndugu zao kiasi kwamba watendaji wa ngazi zake chini kwenye utekelezaji wanaamua na wao kuchukua chao mapema kabla hali haijabadilika, angalia kesi sq wanausalama kuiba nyara, kula rushwa hadharani i.e polisi 16 wanaosindikiza magendo bandari bubu Dar, madawa ya kulevya nk, watendaji wanaouza maeneo ya wazi, mambo ni mengi hayaelezeki, sasa turudi kwenye hoja yako mm kama raia wa kawaida niilinde nchi hii kwa manufaa ya nani? Nikijitoa kuilinda na wenzangu wanatumia mbinu zote njema na ovu kujitajirisha mm ntakuwa mgeni wa nani watoto wangu watakapo kua na kujikuta masikini wa kutupwa wkt wenzao baba zao walijimegea rasilimali zake nchi niliyojitoa kuilinda halafu nife masikini, wacha tuende kama hali ilivyo labda tupate watendaji watakao kuwa na lengo moja kuanzia rais hadi raia wa mwisho kabisa
 
Back
Top Bottom