Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,548
Usalama wa nchi yetu hauwezi kulindwa na jeshi pekee, sisi wananchi ni walinzi namba moja wa nchi hii. Nasema haya kwasababu hadi sasa kuna watu wanaipenda Tanzania ile mbaya kiasi wako tayari kutoa rushwa kupata vibali vya uraia.
Sasa hivi kuna Wasomali waliojipenyeza na wanishi Temeke kama kwao, kuna Wanyarwanda ambao nina wasi wasi Kagame anaweza kuwatumia wamdhuru Mh Rais kama alivyoahidi katika video moja kuwa atamsubiria sehemu na ikiwa inafaa atampiga. Kelele za Kagame zisipuuzwe kwani kuwa na wakimbizi toka Rwanda inaweza kuwa mbinu ya kumdhuru Rais wetu. Hawa Wanyarwanda watimuliwe kwanza ndipo aina yoyote ya suluhu kati ya Kagame na JK iwepo vinginevyo ni sawa na mtu kucheza peku peku juu ya miiba, "Ngoma tamu, miiba michungu"
Aidha urejeshwe ule utaratibu wa zamani ambapo mabalozi wa nyumba kumi walikuwa na orodha za wakaaji wao nchi nzima na walihakikisha wanakuwa na orodha ya wakazi wao na hakuna raia mgeni aliingia eneo lake bila kujulikana. Turejeshe ulinzi wetu wa zamani, tuipende Tanzania.