Watanzania tubadilike

Watanzania tubadilike

Hahaha kumbe ww ni mtoto mzuri ? Nikajua ni dume bana, am sorry. Muda mwengine unaweza kuta unachezea bahati ivi ivi

Mwandiko huo[emoji8]unafanana kweli na aliekua Miss Tanzania 2015[emoji7]au ndio mwenyewe ama
 
Nchi yetu ina jina zuri TANZANIA lakini mkaiita BONGO

BONGO hapa ndiyo matatizo yalikoanzia..!
 
Back
Top Bottom