data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,942
- 23,894
dhhh....watu mnajua kuchambarrrunavaa kimini alafu kila saa unakivuta-vuta chini kama vile amelazimishwa kuvaa
wigi limeozea kichwani linakuwasha unaishia kujitandika makofi kichwani kama una ugomvi na hicho kichwa chako kikubwa kama pasi ya mkaa.