Watanzania Tubadilike, Tujadili Maendeleo!

mkuu ... wewe uponyuma sana ...kuna groups nyingi sana za maendeleo zilizozaliwa humu JF na zinafanya kazi kwa kwenda mbele .... je umeshawahi kuisikia Jamii Empowernment Saccos (JE SACCOS) ambayo tayari imeshasajiliwa na ina offisi yake na members zaidi ya mia moja , je unajua Umoja Farm ambayo tayari ina shamba la mbuzi

Aliyekuwa nyuma ni wewe ambaye unachangia katika thread ambayo hujaielewa na unajifanya mjuaji.

JF kuna groups kama jinsi ilivyo facebook. Makundi hayo yana wanachama. Asilimia za waliojiunga katika kila kundi ni kama nilivyoainisha hapo juu. Hakuna kundi linaloitwa SACCOS.
 
Kujiunga kwenye kundi is a random process. Kama watu zaidi ya 600 wanajiunga kwenye kundi la mapenzi halafu watu 10 wanajiunga kwenye kundi la uhifadhi mazingira, watu 5 wanajiunga ni kundi la Bwana Yesu then it is clear kwamba wengi hupendelea kujadili mapenzi zaidi ya hayo mengine.

Ukitaka kujadiribu hili anzisha thread "Wanasayansi wagundua visima vya bei nafuu" halafu mwingine aanzishe thread "Shibuda afumaniwa live" then angalia namba of views and comments.

Wabongo tubadilike. Kuna watu wanadhani wameshatoka, lakini hiyo inasababishwa na kutokuelewa maana ya maendeleo. Huwezi kutoka katika nchi masikini, utanasa tu!!!
 
huna lolote we gamba dogo,huo utafiti wa kinafiki na kizandiki.
TUMECHAGUA VIONGOZI 90%WANAFIKIRIA NGONO,ULEVI NA UFISADI SASAWEWE UNATAKA SISI TUFIKIRIE NINI?
ukipanda gari kwa nia ya kwenda dar halafu dereva kwa mwendo wa kasiakakunja kona morogoro kuelekea iringa ukikamatwa na polisi ukiulizwa iringa unafuata nini utajibuje?

HUNA LOLOTE.
 
Ndugu Ringo,najuwa mna vyama ndo maana mnalimana vijembe,lakini nadhani kuna la kujadili hapa zaidi yeye kuwa magamba.ULichozungumza hapo juu,umewapa hoja wale wanaosema viongozi wetu sisi ni reflection yetu sisi wenyewe,unless uniambie kuwa wengi humu wenye id fake ndo viongozi wenyewe,something that I kinda believe.Kama uansema asilimia 90 ya viongozi wanafikiria ngono na ulevi,anachodai mleta mada si ndo hicho hicho?Nadhani wewe ndo umekunja kona kwenda Iringa.
 
huna lolote we gamba dogo,huo utafiti wa kinafiki na kizandiki.
TUMECHAGUA VIONGOZI 90%WANAFIKIRIA NGONO,ULEVI NA UFISADI SASAWEWE UNATAKA SISI TUFIKIRIE NINI?
ukipanda gari kwa nia ya kwenda dar halafu dereva kwa mwendo wa kasiakakunja kona morogoro kuelekea iringa ukikamatwa na polisi ukiulizwa iringa unafuata nini utajibuje?

HUNA LOLOTE.

Ringo umenifurahisha sana au niseme umenichekesha, kwa sababu ni kweli nimecheka ila sijui kama nimefurahi!!!
Huu ni utafiti. Utafiti wowote unaweza kupingwa au kukubaliwa ila ni kwa hoja. Swala la mimi kuwa gamba dogo au kubwa sidhani kama ni subject ya hii thread.
 
Back
Top Bottom