Watanzania tuamue: ZZK

Nan alie ilaani nchi hii kiasi cha raia wake kupambazika kiasi hiki?nchi imegeuzwa mali binafsi ya mh.Jiwe?anafanya apendavyo wala hakuna wa kumzuia ?ananena lolote atakalo wala hana hofu?anavuruga nchi wote kimya?ukifikilia tofaut na kuhoji unaitwa mchichez na sio mtanzania?ina maana watanzania hawana uwezo wa kufikiria na kugundua tunakandamizwa? JIWE kajificha nyuma ya kivuli cha kupambana na ufisad huku wakibak mafisadi wateule pekee kwa faida yake.ziwapi tilion 1.5 ufisad wa karne tangu uhuru?bunge kibogoyo limejing'oa meno lenyewe kwa kujipendekeza kwa mh.jiwe.
 
Zito tuamueje? Watanzania tu waoga, tuamueje? Zito tuamueje? Kama alivyosema Mbowe baada ya kutoka gerezani, we are now in a full swing dictatorship and not Udikiteita Uchwara any more! Hilo kundi la kwanza kuna "watu wasiojulikana", ni hatari how do you go about them?
 
Kiongozi yeyote anyeahidi kila jambo, na kujionesha anajua kila kitu huyo ni bazazi wa kisiasa, hatari ilokuwepo ni kwamba wananchi sasa wameamini dola na wanadhani dola ndo itawapa kila kitu, na hii imepelekea watu wamedumaa kifikra
 
Reactions: BAK
Mkuu wamuuliza maswali tena?

Zito ni kiongozi, kiongozi kazi yake ni kuonesha njia,
 
Tumeamua kuwa pamoja na Mh Rais, tupo imara, tunasonga mbele. Wewe amua kuwa agent wa wasioitakia mema nchi. Watanzania wengi tuna imani na Serikali ya Awamu Tano.
 
Mi nang'ata na kupuliza!

Naunga mkono partly, na napinga in other hand


Kunielewa ni kazi
 
Tumeamua kuwa pamoja na Mh Rais, tupo imara, tunasonga mbele. Wewe amua kuwa agent wa wasioitakia mema nchi. Watanzania wengi tuna imani na Serikali ya Awamu Tano.
Kwani nani asiyepamoja na Rais?

Mbona unakuwa mpuuzi

Haya ndio madhara ya chama dola kuatamia watu wote mwishowe imedumaza fikra za watu wake
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…