Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Risk! risk! risk! risk! ndio wimbo tunaoimba watanzania. Yaani ni full kutiana woga tu, na kadiri watanzania wanavyozidi kusoma ndivyo wanavyozidi kuwa waoga kwenye kuwekeza na ndio maana wawekezaji wengi wa kizalendo sio wasomi sana! ila wanaajiri wasomi. Ni jambo moja tu! woga wa wasomi wa kizalendo kwenye uwekezaji! naam, hakuna jingine.
Ifahamike kwamba, kwa kadiri mtu anavyojiingiza kwenye kinachoitwa "Risk" Ndivyo anavyojiongezea uwezekano wa kufanikiwa sana. Ukiogopa risk sana huwezi kukosa chakula ila huwezi kuwa na mafanikio makubwa.Kwani Tanzania kuna risk kuliko maeneo mengine duniani?
Hebu jiulize wawekezaji wa mafuta na gesi wana risk kiasi gani? lakini wanatengeneza faida kiasi gani? inawezekana!hakuna sababu ya kutiana woga, ni suala tu la kuangalia ni eneo gani bora zaidi linaloweza kufanya vizuri zaidi kisha wenye mitaji waweke humo.
kwa mfano kuna risk gani hapa, au kukatishana tamaa tu?
Mifuko ya Hifadhi ya jamii, imsapoti Rais kuwekeza kwenye Uvuvi Bahari Kuu