Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,340 Reaction score 29,271 May 2, 2025 Thread starter #141 Sangamwalogesha said: Hao nyumbu kila tukio wanalitumia km turufu ya kisiasa, kwani watu wangapi wanadhuriwa? Kitima ni mtu km watu wengine. Hao wamechoka kisiasa, jeshi la polisi haiwezi kumlinda mtu moja moja. Km vp aweke ulinzi wake binafsi Click to expand... Asante sana expert wangu,walau mpo watu ambao mnaangalia upande wa pili wa shilingi
Sangamwalogesha said: Hao nyumbu kila tukio wanalitumia km turufu ya kisiasa, kwani watu wangapi wanadhuriwa? Kitima ni mtu km watu wengine. Hao wamechoka kisiasa, jeshi la polisi haiwezi kumlinda mtu moja moja. Km vp aweke ulinzi wake binafsi Click to expand... Asante sana expert wangu,walau mpo watu ambao mnaangalia upande wa pili wa shilingi
N nyongolwe JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 3,043 Reaction score 3,817 May 2, 2025 #142 Etugrul Bey said: Na hii ndio kasumba yenu,kwakuwa mnapenda kusapotiana pale mnapopenda akitokea mtu tofauti na upande wao anaonekana fisi Mjifunze kuambiwa ukweli na huko ndio kukua Click to expand... Acha kushapaza shingo topic nyepesi hii
Etugrul Bey said: Na hii ndio kasumba yenu,kwakuwa mnapenda kusapotiana pale mnapopenda akitokea mtu tofauti na upande wao anaonekana fisi Mjifunze kuambiwa ukweli na huko ndio kukua Click to expand... Acha kushapaza shingo topic nyepesi hii