Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

October 2020 wananchi wa Tanzania tutamchagua JPM kwa kura nyingi kupita chaguzi zote zilizopita.
 
Hivi kwa namna ambavyo Tundu Lissu anavyodharaulika kwa watanzania kwa kutokuwa mzalendo na mtu wa kujipendekeza kwa mbeberu mnategemea apigiwe kura za huruma? Kisa alishambuliwa!
Hata wewe Unadharaulika Mkuu ila Sio na watu wote, Wapo wanaokuheshimu na wapo wanaokukubali; Ku-generalize watanzania wote kwa hisia zako inakuwa Hujatenda haki; Maana watanzania wote sio wewe.
Hivyo Usipate Shida Hakuna Katika Ulimwengu Huu anaweza kukubalika na Kila Mtu; By the way GOD almighty kuna watu wanampinga Sembuse human being.

Warioba Mashaka,

St. George, Bermuda
 
Mie nashangaa mnavyopoteza Muda kubishana kila saa..

Watz wenye akili zao timamu wapo cool na hawana papara wanasubiri liwekwe sanduku la kura hapo mbele wafanye yao..

Haya mambo kafanya Mrema,Lipumba mpaka Lowassa so hakuna kigeni ni muda mwingi umepita toka niachane na siasa za majitaka na matusi majukwaani now natizama sera na utekelezaji bhaaasi...

As long as maendeleo nayaona sina muda wa kupapasa wala kubahatisha...nani ajae bora...!!
 
Sijui ni wanzania wapi unawaongelea? Ila watanzania ninao wafaham mimi kura wayapiga kwa chama chochote wanachokipenda maana wako huru kisheria.

Wstampigia au lah hiyo ni kazi ya wananchi. Si matakwa yako
Watanzania 98% wana akili timamu,wanajua nani ni kiongozi mzalendo anayelifaa taifa letu, hao ndio ninawazunguzia.
 
Hata wewe Unadharaulika Mkuu ila Sio na watu wote, Wapo wanaokuheshimu na wapo wanaokukubali; Ku-generalize watanzania wote kwa hisia zako inakuwa Hujatenda haki; Maana watanzania wote sio wewe.
Hivyo Usipate Shida Hakuna Katika Ulimwengu Huu anaweza kukubalika na Kila Mtu; By the way GOD almighty kuna watu wanampinga Sembuse human being.

Warioba Mashaka,

St. George, Bermuda
Subiri kampeni zianze utapata picha kamili.
 
Subiri kampeni zianze utapata picha kamili.
Last Election tu tayari inaonyesha kwamba Hata Magu hakukubalika na watanzania zaidi ya Milioni 5;
My Concern ni kwamba wewe umegeneralize kama vile wewe ni muwakilishi wa watu wote kwenye kuwakubali na kuwaheshimu watu; Kitu ambacho sio kweli.
Kila mtu anatofautiana kiwango cha kukubalika na watu wengine; Mfano hata wewe ukisimama na Magu Kiwango chako cha kukubalika ni kidogo, compared to Magu na Majaliwa, Au Magu na Lisu.

Mifano mfu na ya kipumbavu! JPM wa 2015 ni sawa na 2020. Hujui kuwa perfomance aliyoionyesha imemfanya kukubalika kwa 100%.
 
Mifano mfu na ya kipumbavu!
Tatizo Brother wewe una Jazba tu ndugu yangu, Kuweka maneno eti Upumbavu ni kutokuelewa na kukosa hoja za kuelekezana kwa ustaarabu; Hujaelewa Concern yangu; No matter what JPM Hawezi Kukubalika na watu wote; Kusema Asilimia 100% hapo utakuwa umeongea kihisia; Chaguzi zote toka Mfumo wa Multiparty System uanze hakuna Mgombea aliyewahi kushinda kwa 100% hiyo unayoisema. Hivyo ni vizuri ukaongea na vitu fact Kusema Anakubalika kwa Asilimia baada ya Perfomance nadhani hata wewe unashangaa;

Kukubalika kwa 100%?? Unaelewa maana ya 100%?? Yaan kama ni kura basi wapiga kura wote wawe wamemkubali, unahisi hiyo kitu inawezekana??

Warioba Mashaka

Subiri utapata majibu kama hakubaliki kwa 100%. Na lack of common sense= upumbavu. Jaribu kudadavua mambo kwa kutumia akili. 2015 sio 2020 ambapo Chadema wamegawana ruzuku na kunywea konyagi na kuvuta bangi.
 
Subiri utapata majibu kama hakubaliki kwa 100%
Anyway it ok; Umeonyesha Huna uelewa na maana ya 100% na Hujui Implication yake ni nini?
Nyerere Tu enzi za chama kimoja alikuwa anapata Kura za hapana, Sembuse kipindi hichi cha Vyama vingi ndo Maguashinde kwa asilimia mia moja? Brother Usiongee Kimuhemko, Kukubalika atakubalika ila sio kwa Asilimia hizo unazosema.
Kuongea hivyo inaonyesha wewe exposure yako ndogo;
 
Mleta mada mbona mnahangaika sana?
ccm mmepandwa na woga gani?
bado hatujaanza campeni zetu!
Nyie bakini na wazee sie tuko na vijana wa Tz.
 
Kijana ukiweka kando ukabila na udini uliotangazwa na gwajima ni nani kati ya wafuatao anaweza kupigia kura ccm?!?!.......zingatia zile factors...(economic, social and political factors)......
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Hakuna
 
Back
Top Bottom