Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
7,903
2,000
Hivi kwa katiba ya cdm Lisu mwenyekiti anakuwa na cheo gani ndani ya serikali au atang'ang'ania apewe uwaziri mkuu😷!
 

chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,424
2,000
Mkuu Mimi nitampigia si kwa huruma bali kwa kuwa yeye ni Bora zaidi ya Magufuli.Naamini Ile ya 2015 ya chagua mtu,chagua Magufuli this time haitakuwa hivyo,this time atategemea kubebwa na chama.
Mtu hujijui utakuwa na uwezo wa kuanalyse mambo? Yaaani Lissu apambane na JPM?
 

chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,424
2,000
Kama Raisi wenu ni mzalendo na anapendwa saana na wananchi,kilichofanya watunge Sheria ya kuzuia kushitakiwa ni nini?anaogopa nini?
Harafu,si anapendwa,kwanini vyombo vya habari vinazuiwa visitangaze mambo ya upinzani?
Kwanza kadanganya,hatujafika uchumi wakati,ili kufika inabidi kipato kiwe Dola 3000,sasa hv tupo Dola 1080,Kikwete aliweka sawa hili.
Kama chadema inaweza kuendesha genge la ugaidi,likashambulia mwananchi mchana kweupeee!harafu hii polisi ccm,iwaache tu!Hawa polisi ambao wanaweza kukumbambikia kesi,leo Chadema iendeshe ugaidi,harafu iachwe!!!
Ni mawili ama ni uongo,au Intelligensia ya usalama,imekufa,na ccm,imeshindwa kuongoza nchi! So kipi ni sahihi!?
Raisi anafanya mambo mazuri,lakini anakosea pia,Ishu ya korona,mgogoro wetu na Kenya,Kuamia Dodoma,Miundombinu,amepatia,
Lakini kwenye diplomasia,Umoja wa kitaifa,uchumi,korosho,amechemka vibaya,na apunguze usukuma,nchi hii ni kubwa kuriko kabila lake,kina Mkapa walifanya makubwa,wakaweka misingi,na hawakujimwambafy,rejea hotuba ya JK msibani,
1995,Kikwete alikuwa mpinzani mkubwa wa Mkapa,kwenye kugombea uraisi,Mkapa akashinda,kwa kusaidiwa na Nyerere,lakini alipoingia Madarakani,hakumtosa Kikwete,alimpa wizara ya mambo ya nje,nyota yake in'gare zaidi,
JK akawa raisi 2005,
Huyu raisi wenu "mzalendo"anayependwa sana"angalia wapinzani wake kwenye kinyanganyiro Cha uraisi 2015,wapo wapi,wote kawapoteza,hataki hata mmoja awe maarufu kuriko yeye,Membe kafukuzwa chamani,Mwandosya,katoswa,hata uteuzi hakuna,Mwiguru,alipokea matusi yakutosha,
Harafu wizara nyeti ya kumpa mtu anayeandaliwa awe raisi,ya mambo ya nje,kampa kenge,kilaza Kabudi!
Nonsense
 

Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
7,895
2,000
Mtu hujijui utakuwa na uwezo wa kuanalyse mambo? Yaaani Lissu apambane na JPM?
Mkuu Mimi si mfia chama ,Hivi mtu anayetekeleza budgets alizopanga mwenyewe kwa wastani wa less than 50% every year for five good years and still mwaka unaofuata anapanga budget kubwa zaidi ya Ile aliyotekeleza kwa less than 50%_ unadhani mtu huyo upstairs anachochote?
 

Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
7,895
2,000
Huna akili na mpumbavu wewe. Jibu hoja mtapata kura za hutuma? Au watu watachagua mchapa kazi ma mleta maendeleo? Unaleta habari za kipuuzi n kitoto
Mkuu hayo maendeleo unayoletewa na Magufuli yanaletwa na ziara zake,matamko yake,ukali wake au pesa? Yaani uplan kujenga nyumba for 10m mwaka 2020 kwa mfano,harafu mwisho wa mwaka kipato chako kwa ujumla wake iwe 4m Kisha uende kwa familia yako kuwadanganya kwamba umejenga nyumba kwa hiyo familia inaendelea,nadhani ni mazuzu tu wa level yako watakuelewa
 

chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,424
2,000
Mkuu hayo maendeleo unayoletewa na Magufuli yanaletwa na ziara zake,matamko yake,ukali wake au pesa? Yaani uplan kujenga nyumba for 10m mwaka 2020 kwa mfano,harafu mwisho wa mwaka kipato chako kwa ujumla wake iwe 4m Kisha uende kwa familia yako kuwadanganya kwamba umejenga nyumba kwa hiyo familia inaendelea,nadhani ni mazuzu tu wa level yako watakuelewa
Mfano mfu. Hoja ya kipuuzi
 

chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,424
2,000
watu wanahitaji ajira. Hivyo vimiundombinu vinasaidia nini wakati wanamaliza vyuo wanakuja kuuza ubuyu. Watu wanalia mtaani hata sector binafsi haiajiri tena uchumi mbovu
Acha wauze ubuyu,kwani ni nchi gani serikali huwa inaajiri wananchi wake wote? Mbona sisi tunakomaa huku porini Nyakagwe na Nyangalata.
 

chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,424
2,000
Hakuna cha huruma hapa wanaotumia akili za kuvukia barabara ndiyo wamekuja na wazo la kuonewa huruma anaye wahifadhi hao wasiojuliana ambao hawatakiwi wajulikane ni nani
Hao wasiojulikana ndio mada husika? Na wanahusika vipi mtu kupanda jukwaani na magongo ili mtu aonewe huruma wakati si mzalendo na hafai kuwa kiongozi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom