Ng'azagala
JF-Expert Member
- Jun 7, 2008
- 1,288
- 222
jamani lakini ukiacha ya kapuya, kwa sisi wabongo hasa tunaozunguka mjini na kwenye mabaa na mahoteli
customer care kwa sie wabongo = 0
unaagiza chakula hotelini, utashangaa majibu ya mhudumu, utadhani unakula kwa mkopo. ni hivyo hivyo kwenye ma bar nk
pia ukienda hata kwenye taasisi zetu za serikali na hata za binafsi bado customer care ni problem i swear to you.
wenzetu wametuacha mbali sana
ulizieni walioenda japan, na ulaya na hata nchi za jirani