UFALMEnaUKUHANI
Member
- Mar 23, 2025
- 16
- 8
Maneno haya niliyasikia kutoka kiongozi mmoja wa Dini! Yalinifikirisha!yanipa uzito katika moyo!Yakaniachia kazi ambayo mpaka Sasa natumika nayo!
Nawaza ni kweli watanzania ni wavivu?
Je kigezo kipi kimetumika kupimwa uvivu huu?
Mbona umetajwa ka ujumla na kwa urahisi?
Nawaza kwa habari ya mahitaji ya msingi kibinamu uhusiano wake na maisha ya mtanzania huyu!
Mtanzania ni mvivu?
Nakumbuka umaskini na misongamano kwenye daladala!...