Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,331
- 4,241
Leo hii Polepole ni shujaa. Leo hii Magufuli naye anakumbukwa.
Yani tunasahau haraka sana. Tunasahau uchaguzi wa 2020 ulivyokuwa uchafuzi.
Tunasahau Lissu kunyanyaswa kila mara kukamatwa kutiwa ndani na hatimae kumiminiwa risasi kama punda.
Tumesahau hela za rambirambi kupigwa mchana kweupe.
Tumesahau Godbless Lema kufungwa na kukaa gerezani bila sababu.
Tumesahau Braza Ben sa8 na Azory.
Leo hii Polepole naye eti Shujaa.
Haya ya Polepole yangesemwa na mtu kama Lema, Mnyika sugu N.k yangekuwa na tija.
Kwa tabia zetu hizi za kusahau CCM itatawala Kwa muda mrefu Sana.