OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
- Thread starter
- #21
Mkuu jakibinda inasemekana dada Chatanda kahama kambi na kukimbilia kwa PM? nasikia wanalalamika Membe hapokei simu zao kabisa.....hahahahaha chezea mtama wewe na hapo ajakamata ikulu, pole sana ila iwe funzo kwao kamwe usimpe mtu anayejisikia kama Membe madaraka .....Membe alisema anapokea simu za JK, Mama salma, Riz na Nyalandu sasa mimi masikini kama Ocampo four hata kumsalimia ataisi nanchafua mikonoocampo halipwi vipi huko kwenu mnalipwa? Dada chatanda